bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Kyoma umeniwahi yaani ndio nilikuwa nakuja jukwaani nipost,ila poa tu ngoja niongezee ulipoishia.
View attachment 263306
mambo mengine bwana kupimana kiwango cha hasira tu
kumbe mpaka uzunguni upo huu ujanja?
Yaan ngekua mm washanifungia mech zote