CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,463
soma katiba ya NCCR-Mageuzi siyo kuropga na kusikia, mmekalia ushabiki badala ya kuwa na data
Kumbe alikimbilia NCCR - Mageuzi kwa kuwa CHADEMA 'hakuna ulaji'? Hivi kazi yake siyo ya kujitolea na kuwatumikia wananchi?
Poor him
amechemka mana mby sasa kuna majembe makari mno ndani ya CHADEMA mpaka wanashindwa nani aanze mana timu ipo full atajuta kuhamia nccrhatimaye aliyekuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya ndugu Edddo Makata ameteuliwa rasmi kuwa Kamishina wa chama cha NCCR-Mageuzi mkoa wa Mbeya.
NDIYO, tena tutashinda kwa kishindo
Tuambie ukweli ulivyo, na kabla yako wewe ni nani alikuwa anashikilia nafasi uliyo nayo kwa sasa?
Hivi makamu m/kiti-Taifa na Naibu katibu mkuu wa nccr ni kina nani?Hivi itikadi ya nccr ni ipi?
Tumwagie humu Ibara ya ngapi ya Katiba ya NCCR inazungumzia cheo cha Kamishina wa Mkoa ili angalau tupate ufahamu sio kusema watu wanaropoka wakati inawezekana pia na wewe ukawa unaropoka pia.soma katiba ya NCCR-Mageuzi siyo kuropga na kusikia, mmekalia ushabiki badala ya kuwa na data
Duh! Pambana, pambana mkuu.soma katiba ya NCCR-Mageuzi siyo kuropga na kusikia, mmekalia ushabiki badala ya kuwa na data
duh pole sana kijana naona maisha ya siasa magumu san, sijui uawewe huwa ni mnafiki siku zote kazi yako ni kuongea uongo tu
achana naye nasikia alifukuzwa cdmTumwagie humu Ibara ya ngapi ya Katiba ya NCCR inazungumzia cheo cha Kamishina wa Mkoa ili angalau tupate ufahamu sio kusema watu wanaropoka wakati inawezekana pia na wewe ukawa unaropoka pia.
Acha uongo kaka ben, huo ni unafiki. hujui lolote unaropoka tu, soma katiba ya nchi ibara ya 66 ili ukomae kifikra
Ndio chama pekee kinachoongozwa na Mwenyekiti aliyepata ubunge kwa Hisani ya Rais!
Kwa nini Ben saanane sio wa kupingwa katika komenti yake.....
Aliyechaguliwa na wananchi ni Mwakilishi wa wananchi.....alieteuliwa na Rais bila shaka ni mwakilishi wa Rais bungeni....Rais ni Mwenyekiti wa CCM....Kwa hiyo Mbatia anamuwakilisha Mwenyekiti wa CCM bungeni!
hatimaye aliyekuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya ndugu Edddo Makata ameteuliwa rasmi kuwa Kamishina wa chama cha NCCR-Mageuzi mkoa wa Mbeya.
Tuambie ukweli ulivyo, na kabla yako wewe ni nani alikuwa anashikilia nafasi uliyo nayo kwa sasa?
Mroho mkubwa wa madaraka huyo