M7 hajang'ang'ania alishinda uchaguzi kabisa....Kumuonea tu. Ingekuwa Mohammed Buhari wa Nigeria amekatalia madarakani ECOWAS wangevamia Nigeria? Huku Afrika Mashariki kuna mwamba kama Museveni, mnaweza kumvamia?
Ni wachache mno. Nchi kwanza,kupendelea watala baadae. Mungu ampe maisha marefu.Huyu mkuu wa majeshi wa Gambia ana akili kubwa sana na atakumbukwa daima ni wachache wa namna hii Afrika nzima
Huyu mkuu wa majeshi wa Gambia ana akili kubwa sana na atakumbukwa daima ni wachache wa namna hii Afrika nzima
Hakika hapa hakuna wakumnyooshea kidole mwenzie kwa kuwa wote wameingia madarakani kwa mizengwe.Tofautisha haya mambo. Museven tume ilimtangaza ndo mshindi wakati Gambia aliyetangazwa mshindi ni mwingine na aliyeng'ang'ania madaraka ni mwingine. Kuna utofauti mkubwa kati ya hao wawili, Museven akifanya alichofanya huyo wa Gambia ndo tunaweza hoji uhalali au double standard.
Pia, kumbuka wanaofanya hiyo OPERATION ni ECOWAS sasa huku kwetu ikitokea hivyo inabidi EAC ijiongeze, swali EAC inaweza?
Hivi alichokifanya huyo Jammeh unakijua? huwezi kutangaza kwamba umekubali kushindwa uchaguzi ukampongeza na aliyekushinda halafu baada ya muda unageuka unasema hukubali kuachia ofisi. Huu ni zaidi ya wendawazimu. Gambia ni nchi siyo kampuni .Kumuonea tu. Ingekuwa Mohammed Buhari wa Nigeria amekatalia madarakani ECOWAS wangevamia Nigeria? Huku Afrika Mashariki kuna mwamba kama Museveni, mnaweza kumvamia?
His days are numbered [HASHTAG]#msevini[/HASHTAG]Kumuonea tu. Ingekuwa Mohammed Buhari wa Nigeria amekatalia madarakani ECOWAS wangevamia Nigeria? Huku Afrika Mashariki kuna mwamba kama Museveni, mnaweza kumvamia?
Angalia Aljezeera, BBc utapata ukweliI beg to differ mbona mwanzo alisema atamlinda kwa gharama yeyote ile!!!
Ni kweli alikubali kushindwa lkn wanajeshi walimweka chini ya ulinzi kiaina wakihoji sisi tulikulinda kwa gharama zote,na kuna wakati tuliuua na kutesa wapinzani wako je unatuachaje?ww utapata hifadhi na ss je?Ndo pale bwana mkubwa akadilika ghafla....sasa kuna mchezo wa paka na panya dakika za mwisho wamemuacha njia panda bwana mkubwa!Hivi alichokifanya huyo Jammeh unakijua? huwezi kutangaza kwamba umekubali kushindwa uchaguzi ukampongeza na aliyekushinda halafu baada ya muda unageuka unasema hukubali kuachia ofisi. Huu ni zaidi ya wendawazimu. Gambia ni nchi siyo kampuni .
Huyu mkuu wa majeshi wa Gambia ana akili kubwa sana na atakumbukwa daima ni wachache wa namna hii Afrika nzima
Kwani rais mpya akiingia ataingia na jeshi lake?Ni kweli alikubali kushindwa lkn wanajeshi walimweka chini ya ulinzi kiaina wakihoji sisi tulikulinda kwa gharama zote,na kuna wakati tuliuua na kutesa wapinzani wako je unatuachaje?ww utapata hifadhi na ss je?Ndo pale bwana mkubwa akadilika ghafla....sasa kuna mchezo wa paka na panya dakika za mwisho wamemuacha njia panda bwana mkubwa!
Alisema hivo ili awe sehemu salama kwanza coz muda ulikuwepo na bado alikiwa anapokea amri halal wangeeza kumfanyia figisu ndo maana kasubir hadi siku ya mwisho kusema msimamo wakeI beg to differ mbona mwanzo alisema atamlinda kwa gharama yeyote ile!!!
Afrika hamna haki kaka! Tena hapa East Afrika ndo kabisa.Kumuonea tu. Ingekuwa Mohammed Buhari wa Nigeria amekatalia madarakani ECOWAS wangevamia Nigeria? Huku Afrika Mashariki kuna mwamba kama Museveni, mnaweza kumvamia?
E/AFRICA wana jeshi linaitwa EAST AFRICA STANDBY FORCE(EASF),ila swala la kama wataweza kumng'oa raisi wa member state hilo pasi na shaka haliwezekani.Tofautisha haya mambo. Museven tume ilimtangaza ndo mshindi wakati Gambia aliyetangazwa mshindi ni mwingine na aliyeng'ang'ania madaraka ni mwingine. Kuna utofauti mkubwa kati ya hao wawili, Museven akifanya alichofanya huyo wa Gambia ndo tunaweza hoji uhalali au double standard.
Pia, kumbuka wanaofanya hiyo OPERATION ni ECOWAS sasa huku kwetu ikitokea hivyo inabidi EAC ijiongeze, swali EAC inaweza?