Economy growth analysis of Tanganyika since 1961

Economy growth analysis of Tanganyika since 1961

Joined
Jul 31, 2012
Posts
21
Reaction score
3
Economy growth analysis of Tanganyika since 1961
Enzi za mwalimu kusoma na kupata ajira haikuwa shida kama ilivyo sasa, kwani wanafunzi walikuwa wanatafutwa huko jijini na waliwza kupatiwa fully accomadation allowances kama free transport go and returns n.k
Sasa endapo serkali ingeweka mfumo wa kulipa kodi kamalivyo sasa kwa wajiliwa wote na 10% of salary kama makato kwa ajili ya parents benefits kwa shida na tabu walizopata mpaka wewe umepata ajira,
Je taifa letu kwa sasa uchumi wake ungekuwa wapi kuanzia bottom line (wazazi) to wewe mwajiriwa
Au kama ilivyo mifuko ya jamii ya kuchangia 10% ya salary yake naye mwajiri hivyohivyo halafu hili fungu lipelekwe moja kwa moja kwenye akaunti ya familiya au ya wazazi ili kusaidia wazazi wetu waliweza kutufikisha hapa.
Je uchumi wa nchi na kipato cha mtu mmoja mmoja ingekuwaje leo
Wadau naombeni maoni kwani nipo kwenye utafiti wa hizi kodi za PAYE (PAYAS YOU EARN) KWA KILA MWAJIRIWA ANGEKATWA KWA AJILI YA WAZAZI WETU.
 
Kichwa cha thread ni tofauti kidogo na yaliyomo, na pia somo la economic growth ni pana sana; Nadhani ungefananua zaidi unachotafuta katika study yako ni kitu gani hasa, in relation to economic growth; Kwa mfano, what is the main research question? Pia what is the main independent variable na zipi ni dependent variables? Is it Economic Growth? PAYE? Unajaribu kuangalia how Variable 'A' causes or determines or influences variable 'B', nini ni A na nini au zipi ni B in your study?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom