Economic Situation After ELECTION

Economic Situation After ELECTION

Meek Mill

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
749
Reaction score
842
Salaam Ndugu na jamaa.
Si Mshabiki wa chama chochote ila tutengemee hali mbaya ya Kiuchumi baada ya Uchaguzi.Especially after October kinachopelekea kusema Hivi ni Sababu Ya vitu vingi ikiwa ni pamoja ya kwamba Now Mishahara ya watu especially Watoa Social services Inaongezeka Katika Hali Isiyokuwa Ya kawaida mfano. Jana mishahara Ya Polisi Imeongezeka Wenyewe Wanasema Ni allowance.Ila katik moja ya Technic especially Wakati wa Uchaguzi ni Government Ina Boost economic activity ionekane ipo fairly .Iyo Inaitwa policy Induced ambayo ni effect Kubwa sana Katika Uchumi After Election.unawaongezea Watu Mishahara Bila Rights Ya Parliament ku pass Aisee Ni maoni yangu TUJIANDAE KWA HALI MBAYA YA KIUCHUMI BAADA YA UCHAGUZI.
 
Inawezekana au la, kwa mtazamo wangu hali imekuwa ngumu tangu mwezi wa pili au wa tatu na hata dola ilianza kupanda miezi hiyo sababu kuu ni watu kushikilia pesa zao kutokana na hofu ya uchaguzi hasa wawekezaji-kwamba mtu anaogopa kuwekeza kisije kikanuka.Endapo uchaguzi utakuwa shwari basi taratibu mzunguko wa hela utaimarika
 
Kuna Watumishi wana malimbikizo ya Madeni sasa kuna ubaya gani hizo hardship allowance kulipwa? Hakuna fedha inatoka hazina bila kuwa imeidhinishwa na bunge! Acheni porojo kama jambo hulijui usilalamike na ku predict matatizo kutokea. Hiyo fedha isipolipwa hali ya uchumi wa watumishi husika inatetereka! Wenyewe wamelalamika? Usidandie vitu vya kiuchumi bila Kutoa analysis inayoeleweka.
 
Nimeckia hata mimi kwa wanasiasa kuwa imepanda kutoka 180 mpaka 300k allowance sa cjui kwa budget ipi? ama kweli green wameyumba sana na kwa hl hupashwa kuubeza upinzan umeifanya serikal ijirekebishe
 
nchi tz inaingia/ipo kwenye mfumo wa Kibepari, kutokana na mfumo huu, watu wachache wenyenazo ndio wenye nguvu ktk uchumi wa nchi na ndio hao walioihujumu tz kwa miaka 10, kwa kitendo chao cha wengine kuhamisha mabilion yao. walifanya hivi aidha kwa makusudi ili serkali ya jk ionekane ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia uchumi au kwa kumuogopa asiwasumbue KWAMTAZAMO WANGU, akishinda Magufuri Nchi itaendelea kua kama kwa serkali ya jk, kwa7bu timu ya magufuri haina mtandao wa wenye nazo, na kwa tabia yake ya kibabe wasipo angalia na wengine wata hamisha mabilion yao na hata wawekezaji wengi watahama na kwenda kuwekeza nchi zingine, kwahiyo anahitaji apate washauli wazuri.
Akishinda LOWASA uchumi unaweza kuimalika kwa7bu,
-anajulikana kimataifa kuhusu na wawekezaji hatakua na wasiwasi jinsi ya kuwapata na kuwaseti.
-pia anao mtandao wa wenyenazo na wafanyabiashara wakubwa na wadogo.
 
Baada ya Uchaguzi kuna dalili Nyingi sana Za uchumi wetu kunyumba pamoja na pesa yetu kushuka Thamani Zaidi ya hivi sasa.Tusubili After Mwezi Mmoja Baada ya uchaguzi Kuisha hali Itakuwa Mbaya Sana.
MY SUGGESTION
SERIKALI ITAKANYO ingia Ifanye jitihada za Haraka Sana Kurecovery Uchumi Kwa ku encourage Investment katika kila sector
 
Kuna Watumishi wana malimbikizo ya Madeni sasa kuna ubaya gani hizo hardship allowance kulipwa? Hakuna fedha inatoka hazina bila kuwa imeidhinishwa na bunge! Acheni porojo kama jambo hulijui usilalamike na ku predict matatizo kutokea. Hiyo fedha isipolipwa hali ya uchumi wa watumishi husika inatetereka! Wenyewe wamelalamika? Usidandie vitu vya kiuchumi bila Kutoa analysis inayoeleweka.

hizo Hardship allowance zilitakiwa kulipwa Muda Mrefu Kabla ya Kipindi Hiki.Sasa Unawezaje Kulipa Hardship Allowance Karibu Kila Sector.Kwa Kipindi cha Miezi Miwili
 
nchi tz inaingia/ipo kwenye mfumo wa Kibepari, kutokana na mfumo huu, watu wachache wenyenazo ndio wenye nguvu ktk uchumi wa nchi na ndio hao walioihujumu tz kwa miaka 10, kwa kitendo chao cha wengine kuhamisha mabilion yao. walifanya hivi aidha kwa makusudi ili serkali ya jk ionekane ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia uchumi au kwa kumuogopa asiwasumbue KWAMTAZAMO WANGU, akishinda Magufuri Nchi itaendelea kua kama kwa serkali ya jk, kwa7bu timu ya magufuri haina mtandao wa wenye nazo, na kwa tabia yake ya kibabe wasipo angalia na wengine wata hamisha mabilion yao na hata wawekezaji wengi watahama na kwenda kuwekeza nchi zingine, kwahiyo anahitaji apate washauli wazuri.
Akishinda LOWASA uchumi unaweza kuimalika kwa7bu,
-anajulikana kimataifa kuhusu na wawekezaji hatakua na wasiwasi jinsi ya kuwapata na kuwaseti.
-pia anao mtandao wa wenyenazo na wafanyabiashara wakubwa na wadogo.
Mkuu naona Maneno yako Yana ukweli..Japo Theard yako iliandikwa Muda.
 
Back
Top Bottom