Economic Freedom Fighters
Member
- Jul 21, 2023
- 23
- 17
Tatizo letu nchiinafuata siasa ya Ujamaa kimaandishi , lakini kivitendo tuna fanya siasa ya Kibepari.Salaam,
Huu utakuwa ukurasa rasmi wa Vuguvugu la Kimapinduzi la Ukombozi wa Kiuchumi Tanzania, amboa utakuhabarisha kuhusu Itikadi, falsafa, sera, utangamano, dira ya Economic Freedom Fighters Tanzania, maoni, mtazamo na mambo mengi ya kisiasa, Kiuchumi, kijamii, Sayansi na teknolojia na Uhuru kamili wa kiuchumi wa Afrika.
Vuguvugu (movement) alichangamani na upande wowote wa kisiasa, bali linalenga kuhamasisha nguvu ya mtu mweusi na wote wasiyo na sauti Duniani kote kujikomboa kiuchumi.
Vuguvugu hili linapinga ubaguzi wa aina yoyote ile ikiwa ni pamoja na makundi maalumu ya kijamii ndani na nje ya Nchi.
Karibu sana Watanzania wote.
Economic Freedom Fighters Tanzania,
Ujamaa ni Imani.View attachment 2695905
Mimi nasimama na nchi yangu Zanzibar. Sasa Tanzania itasimama na Nai? Hili nalo ni tatizo jingine la Jamhuri yetu ya Kufikirika.Mimi nasimama na nchi yangu ya Tanganyika.
Duniani hakuna nchi inayoitwa Tanganyika, haipo.Mimi nasimama na nchi yangu ya Tanganyika.
Kujikomboa kiuchumi ni lazima kuepuka kutumika kwa Afrika kama eneo maalumu la Mabepari. Mapinduzi ya kweli ni Ukombozi wa kiuchumi.Mimi nasimama na nchi yangu Zanzibar. Sasa Tanzania itasimama na Nai? Hili nalo ni tatizo jingine la Jamhuri yetu ya Kufikirika.
Shida nyingine ni kuwa bado tuna mawazo ya kiujima ujima. Yaani tunataka tubaki na mali zetu wakati hatuwezi kuzivuna na kuzifaidi matunda yake.
Kwa mfano, madini. Serikali ingalihamasisha uchimbaji wa wazalendo wenyewe na kukusanya dhahabu, almasi na madini mengine na kuuza wenyewe nje. Lakini tatizo sisi hatuna soko (network) ya kibiashara, tunaweza kujikuta tunabaki na mzigo ghalani kwa kisingizio kuwa uko chini ya viwango vya kimataifa. Kwa hiyo, inatulazimu tuwaite makampuni maarufu ya uchimbaji duniani ambao wenyewe wanazo network za kuuza na wanaaminika kwa uzoefu wao na wana kibali na assurance ya ubora wa thamani.
Kwa hiyo, bado Waafrika ni lazima tuendelee kuliwa tuu.
Mimi nasimama na nchi yangu ya Tanganyika.
Shida kubwa ndo ipo hapo..Mimi nasimama na nchi yangu Zanzibar. Sasa Tanzania itasimama na Nai? Hili nalo ni tatizo jingine la Jamhuri yetu ya Kufikirika.
[emoji1787] kuwa mpole wanaharakati wapo kaziniYaani mnapinga Hadi ubaguzi kwa mashoger?
Kile chama cha MALEMA kimeanzisha tawi lake Bongo.Salaam,
Huu utakuwa ukurasa rasmi wa Vuguvugu la Kimapinduzi la Ukombozi wa Kiuchumi Tanzania, amboa utakuhabarisha kuhusu Itikadi, falsafa, sera, utangamano, dira ya Economic Freedom Fighters Tanzania, maoni, mtazamo na mambo mengi ya kisiasa, Kiuchumi, kijamii, Sayansi na teknolojia na Uhuru kamili wa kiuchumi wa Afrika.
Vuguvugu (movement) alichangamani na upande wowote wa kisiasa, bali linalenga kuhamasisha nguvu ya mtu mweusi na wote wasiyo na sauti Duniani kote kujikomboa kiuchumi.
Vuguvugu hili linapinga ubaguzi wa aina yoyote ile ikiwa ni pamoja na makundi maalumu ya kijamii ndani na nje ya Nchi.
Karibu sana Watanzania wote.
Economic Freedom Fighters Tanzania,
Ujamaa ni Imani.View attachment 2695905
Kwani wewe uko wapi mkuu! Tanganyika ipo na itaendelea kuwepo maadam wenye nchi - Watanganyika, wapo.Duniani hakuna nchi inayoitwa Tanganyika, haipo.
Acha ujinga wewe sio mjinga.Kwani wewe uko wapi mkuu! Tanganyika ipo na itaendelea kuwepo maadam wenye nchi - Watanganyika, wapo.