sijajua utaratibu wa hiyo benki... ila nachojua bank zinakopesha hela ila hazikupangii ukanunue wapi..
swali la kizushi.. gari unalotaka nunua ni la biashara au la kutembelea..
kama la kutembelea... achana nalo maana ualilipia na riba na mateso juu... maana unaonekana chanzo chako cha mapato sio kizuri