Ili ni jambo jipya Tanzania tumepata bahati ya kuwa nchi ya kwanza Africa mashariki na kati kuweza kupata huduma ya moyo online.
iMMi life ni platform ya cardiologists duniani wanapokea kipimo cha ECG na kutoa opinions au report ya patients ndani ya dakika 20 na wanatoa service ya cardio chatting kwa medical doctor na physician ili kumsaidia jinsi ya kumsaidia patients
Wana ECG machine ambazo ni portable na zinaifadhi charge kwa muda wa saa 10 .
Wana lengo la kusambaza ECG machine kote Tanzania kwenye hospital za mkoa na wilaya na private hospitals ambazo zitaitaji huduma hii.
Na wana lengo la kuwa na local cardiologists wa Tanzania watakao tengenezewa platform yao na kusaidia kufanya kazi kokote pale nchini na kuokoa maisha ya watu kwa kupata vipimo online na kufanya diagnosis
Hii ni fursa muhimu sana nchini na itatoa majibu na uzoefu kwa wataalam wetu na kuboresha wizara ya afya nchini.
Wasiliana nami kupitia namba kwa maelezo zaidi.
0714574319
0765758624