Ebwana kuachwa kunauma

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
Ebwana mambo vp
Unapohic mpenzi wako haeleweki na unampenda kwa dhati nivizuri kujitoa mapema kwa kummwaga ama kujikaza kusubili kumwagwa ila mpenzi wako bado unampenda zaidi.
Naombeni ushauri!!
 
Tafuta wa kutoaka naye!! Taratibu anza kupunguza mawasiliano naye, utagundua harakati zake mapema zaidi.
 
na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?

Na mimi ulivyonichuna nimebaki broke utanirudishia? Kama raha wote tumepata!! Kuchakaa kwa M/Ke hakutokani na Kufanya sana mapenzi na m/me bali kujitunza kujikeep fresh errday!! Mbona Beyonce na kina JLo ,kyle minogue,madona hawajachakaa? Ebu mcheki Monica Arnold ana watoto watatu lakini mtoto mrito bado mbichiii yani mteketeke lainiiiii softiiii hana hata chunusi tumbo flat utafikiri hajazaa,mademu wa kwetu hakishazidi 23 tu na akaendekeza kulakula tu na madawa yao ya uzazi yani anafutuka hadi shape yote inatoka anakua kama puto samahani lakini,
 
Last edited by a moderator:
Ebwana mambo vp
Unapohic mpenzi wako haeleweki na unampenda kwa dhati nivizuri kujitoa mapema kwa kummwaga ama kujikaza kusubili kumwagwa ila mpenzi wako bado unampenda zaidi.
Naombeni ushauri!!

Ni bora kujimwaga japo ni ngumu kuliko kusubiri kumwagwa !!!
 
Keshakuelewa mkuu, wananiboa sana!! siyo wabunifu kabisa, chipsi kuku sijui nini hawasikii wala hawaambiwi huku tumbo hiloooooooo. Badilikeni
 
Mwana FA aliagiza tafuta na wewe mnyonge wako ukerebishe. Pole mwaya.
 
na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?
Uache mapozi, ukiacha mbona nitajua tu kuwa mabebi ananipenda pia, lakini siyo kila saa unasumbua pengine nimechoka na dili zangu za shamba au town. Hapa Inahitaji ubunifu zaidi, hata hivyo girls < 26 years old wengi wasumbufu, you are too demanding gal.
 



bila samahani watakua wameelewa tuh
 
na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?
Nikulipe nn wakati ww unaniletea mapozi,tamaa mbele hueleweki hutaki kutulizana!!!
Nakama starehe tulipata wote, tulisaidiana so nakuwahi kukumwaga kabla hujanimwaga ili kupunguza maumivu japo nakupenda kwa dhati.
 
Keshakuelewa mkuu, wananiboa sana!! siyo wabunifu kabisa, chipsi kuku sijui nini hawasikii wala hawaambiwi huku tumbo hiloooooooo. Badilikeni

Kabisa naturally demu inatakiwa hawe pambo yani ukimuangalia tu yani uwe hoi yani akugenyeshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…