anajuaje labda naweza tokea hapo hapo kwenye kukagua paswaord ya simu? watu wakisha tokaga bwana wanawaonaga kama ambao hawajapasua kama vile hawako smart kwenye kufikiria,kumbe ni namna tuu button haijabonyea,siku ikibonyea mbona hata chooni mtoko unakufuata huko huko