Ebu skia hii!!


Nimekusoma mama.
 
Poa ila inachukua muda kumpata kama yule!!
ukishasema hiyo kauli, kwenye red jua umekuwa na unakwenda stage ingine mpya katika maisha yako, la muhimu muombe Mungu katika stage hiyo uliyopo sasa hivi akuondoshee maumivu ya moyo, na akutimizie haja ya moyo wako kwa kukupa yule mwenye kheri na wewe, atakayekujali, kukuthanini na kukupenda juu ya kipato chako kidogo. Kila la kheri.
 
Labda si dharau ni upya ulikuwa unakuzuzua....si wajua kipya kinyemi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…