Ebu nifumbueni macho

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Mim ni mwanaume nina miaka 28,nimeoa kabla ha2jaoana mke wangu alikuwa na tabia ya kila nikimhitaji anasema hajisikii,nikadhan kuwa anahofu nitamchezea na kumuacha lakin cha kushangaza hata 2lipoingia kwny ndoa tatizo ndo linaongezeka ukiuliza naambiwa hajisikii kudo,sasa nauliza huo ndo upungufu wa nguvu za kike au nin? Naomba ufafanuz na majibu yenu
 
nadhan kabla hujaomba ushauri huu wa bure,kwanza kaa na mkeo mueleze hisia zako na ambacho unataka na yeye akuleze nini kinamtokea.Yawezekana hautumii muda wako kumuandaa mwenzi wako na hivyo kumfanya akose hamu ya tendo lenyewe
 
Upungufu wa nguvu za kike...
Nimeipenda ngoja wataalam waje
 
Kumbe alianza kuonesha hali hiyo kabla hamjaoana...
Basi endelea kuvumilia maana ulishaikubali hiyo hali kabla ya ndoa.
 
Me sitaki uniombe kwa maneno nataka uniombe kwa vitendo banaa... We unakurupuka tu lol!
 
Labda hii......


sosi.....usokitabu......
 
Unakwambia hajisikii,yanini hilo kulishabihisha na upungufu wa nguvu za kiume!!kaa nae muulize badala ya sisi kukupa majibu ya mkeo
 
wanawake pia wanatatizo la kukosa hamu ya kudo.. ikiwa tatizo linaendelea unapaswa kukaa na kuongea baina yenu ikishindikana mkamuone Dr....
 
Muoneni mtaalamu wa saikolojia
 
Itakuwa haumnogei. Ongeza juhudi baba. Mtu akiona chakula anapaswa aanze salivation hapo hapo.
 
Ulipaswa uombe tukufumbue before hata hujafika uliko mbona hapa tatizo lishakua sugu ndo unalileta ndugu

Anyway be 'a man enough' I doubt u are not
 
Rudini kanisani kaajili ya ushauri nasaha na maombi, labda ana jini mahaba anayemtokea usiku na kufanya nae mapenzi.:disapointed:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…