Ebu nifumbueni macho

Ebu nifumbueni macho

Mim ni mwanaume nina miaka 28,nimeoa kabla ha2jaoana mke wangu alikuwa na tabia ya kila nikimhitaji anasema hajisikii,nikadhan kuwa anahofu nitamchezea na kumuacha lakin cha kushangaza hata 2lipoingia kwny ndoa tatizo ndo linaongezeka ukiuliza naambiwa hajisikii kudo,sasa nauliza huo ndo upungufu wa nguvu za kike au nin? Naomba ufafanuz na majibu yenu

wapo wanawake wanajisikia kufanya ngono mara nyingi kila siku. lakini pia wapo wanaojisikia kufanya ngono mara chache sana kwa mwezi na hata kwa mwaka. ni jukumu lako kumstudy halafu kuadapt accordingly bcause ndoa ni zaidi ya ngono.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom