Ebu niambie unakumbuka wapi ukiona picha hii!!!

Khaaa ndio nini sasa huyo mwalimu kumkwida mtoto namna hiyo huku akimuwasha bakora?

Kweli baadhi ya walimu ni waonevu..katoto mbavu zimemtoka lakini mwalim anakazia tu bakora kwa nguvu.
 
Khaaa ndio nini sasa huyo mwalimu kumkwida mtoto namna hiyo huku akimuwasha bakora?

Kweli baadhi ya walimu ni waonevu..katoto mbavu zimemtoka lakini mwalim anakazia tu bakora kwa nguvu.

Na hicho kilio chake chaonesha wazi wazi hizo bakora si mchezo...
 
Kitu cha chekechea pale Mafinga na lile baridi ukitandikwa mpaka mkono unavimbia damu kwa ndani.
 
apo akimaliza kuchapwa wanfunzi wengne tunamuimbia /asiyependa shule ni mjinga kabisa x2
 


Huyu kijana alikamatwa akiwaonyesha hao wasichana watatu nanihino yake (ona vifungo vya kaptura vimefunguliwa).

Angalia kihoro kwenye macho ya hao wasichana. Nao wanasubiri zamu yao ya mkong'oto.

Ni kitu hiki ndicho kinachofanya wavulana wanapoinukia kuwa na soni kuzungumza na mademu.
 
Punda huwa haendi bila mijered ya kutosha...corporal punishment increase response...ila viboko visizidi3 na uchapaji uwe na kibali toka kwa afisa taaluma...sio kupiga tu...according to pinda view ktk bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…