Ebony FM mmetukosea JamiiForums

We mwenyewe unaonekana kuegemea upande flan, kwa hiyo hamna shida yale ni maoni yake, unayakubali yachukue unayakataa achana nayo, sio kila kinachoongewa kitakuja upande wako, wakati mwingine unatakiwa kuvumilia
 
Maoni ni ngozi kila mtu anayo sema kuna mwenye nyeusi tii, ya njano, nyekundu, blue, udhurungi nk.
Jifunze kukubali ngozi ya mwenzio ndivyo alivyo umbwa.
 

Bashite eeee
 
Kwahiyo ulitaka asome kile ambacho kinge kufurahisha wewe? Ndio maana TBC inakufa
 
Hao Ebony washapigwaga stop hewani sababu ya kutangaza wudesi /uongo
 
Radio ndio ya kulaumiwa sio JF

Wao kama radio ni chombo kilichokamilika kina watendaji wake kama walikosa mwakilishi ni kosa lao kutumia kuiga habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…