Ebola yatua Afrika Mashariki

Ebola yatua Afrika Mashariki

Gonjwa likiingia Bongo tumekwisha...maana kwa bajeti ipi?

Huko Nigeria wametenga 1 bn Naira...sisi tutazitoa wapi?

Maan wamejenga mpaka wodi special...
 
Rwanda sio afrika mashariki, a.mashariki ni kenya uganda na tanzania. Sema ni nchi iko karibu kabisa na t.z na mi mtu yake kilasiku iko kagera na kigoma lol!

Ndo nwalimu wako alikufundisha ivyo?!
 
Kwa nini wasizuie wasafiri toka nchi zenye case za ebola...mfano huyu wa Rwanda ametokea Liberia na ni German medical student...mimi nimeona hata Nigeria ugonjwa umewatembelea sababu ya mgeni toka Liberia alokuja na ugonjwa wake...
 
kinachofanyika ni kuisumbua Africa isiimarishe mahusiano na Urusi na China...hasa kipindi hiki....cha vuguvugu la vita ya pili ya baridi... Watu hawa wabaya sana....
 
Rwanda sio afrika mashariki, a.mashariki ni kenya uganda na tanzania. Sema ni nchi iko karibu kabisa na t.z na mi mtu yake kilasiku iko kagera na kigoma lol!

hahahahahaha!!!
 
Wataalamu wa geografia tuambieni Rwanda ni Africa ya Kati au mashariki...mimi naona iko kati....(tusichanganye na community kwani ikija kwenye hilo siye tuko pia Kusini)
 
Rwanda sio afrika mashariki, a.mashariki ni kenya uganda na tanzania. Sema ni nchi iko karibu kabisa na t.z na mi mtu yake kilasiku iko kagera na kigoma lol!

Hii elimu yako uliipitia wapi?Hebu niambie nimuongezee mwalimu wako mshahara
 
Hayaa. Chigali na KIA na JNIA ni mwendo mchache sana kwa rwandaiar. Waziri wa CCM anasema wamejiandaa. Ninavyoijua magamba watasema hata Ebola imeletwa na CDM maana wao kila kitu kwako ni politics.

Sent from my iPad using JamiiForums

Hii habari inabidi niifuatilie maana niko kigali..na ukizingatia kipindi hiki wageni wengi c unajua kn kagame cup...hii si habari njema kbs
 
Dengue ilitupelekesha hapa mpaka mbu wakatuonea huruma, Nadhani Ebola itatufyeka hapa maana serikali nzima mawazo yapo 2015.
 
Wamarkenj watatumaliza mwaka huu. Huko kwao ciwanda vya kutengeneza dawa ya ebola stocks zao ziko juu. Sijui lini viongozi wa kiafrica waatcha kulamba miguu ya wazungu.

Haya mambo tunayataka wenywe

The King.
 
Na wao wana magonjwa yao yanawatesa na kuwamaliza kama Saratani, Magonjwa ya moyo, Mafua.

Wanasema kinyozi nae hunyolewa
 
Back
Top Bottom