Africa haiombi msaada kutoka America au Europe Ni lazima kupewa kiasi cha Mali inayovunwa Na iliyokwisha vunwa kutoka Africa hili sio ombi kwahiyo hakuna msaada nchi za Africa zinapata kutoka developed countries ila Ni surplus ya Mali ya waafrika iliyochukuliwa Na inayoendelea kuchukuliwa na wazungu for the so called colonialism and neo colonialism.Kama wewe Ni msomi utakuwa umenielewa.mnalialia hamsaidiwi kwani nyie hamna ubongo na mikono!?. mnapewa misaada mnafanya haki yenu!. watu wenyewe ni kama hayawani mwitu hamuaminiki mnaweza kusaidiwa na baadaye mkawageuka wanaowasaidia kama mlivyowafanyia wamarekani mogadishu. omba usaidiwe sio kulia kwanini hausaidiwi, kwani we mtoto. mxiuuuu.
Africa haiombi msaada kutoka America au Europe Ni lazima kupewa kiasi cha Mali inayovunwa Na iliyokwisha vunwa kutoka Africa hili sio ombi kwahiyo hakuna msaada nchi za Africa zinapata kutoka developed countries ila Ni surplus ya Mali ya waafrika iliyochukuliwa Na inayoendelea kuchukuliwa na wazungu for the so called colonialism and neo colonialism.Kama wewe Ni msomi utakuwa umenielewa.
uhaliziMbona theorization hii inakinzana na uhalisia??!!
Hivi neno "kwa msaada wa watu wa. . . . ." lina maana gani tena??!!
DFP number plate nayo ni kuashiria surplus inayorudishwa??!!
Natamani kuelewa zaidi
Sijamsikia kusema sana kuhusu viongozi wa Africa na wanavyoongoza nchi zisizo na mifumo ya afya ya kueleweka.
Viongozi WA Africa wataongea nini mbele ya Barack Obama? Juzi hapa si waliitwa kama wanafunzi wote waliitwa Na kuelekezwa mambo ya kutekeleza. Everything relies on power brother
Nimekujibu ila umeshindwa kuelewa nikwamba viongozi Si Kama wanaboronga Kama ulivyosema lakini mfumo uliopo wa uendeshaji wa masuala ya kisiasa Na kiuchumi duniani upo centralized Na great powers so Ni vigumu Sana kujifanya kichwa ngumu labda uwe Kama Mugabe.sijui Kama umenielewa Apo broTotally beside the question.
Nimeuliza kwa nini Annan hawasemi viongozi wa Afrika kuboronga?
Wewe unaniambia viongozi wa Afrika hawawezi kusema mbele ya Obama.
Habari niliyouliza ni tofauti na uliyojibu.
Nimekujibu ila umeshindwa kuelewa nikwamba viongozi Si Kama wanaboronga Kama ulivyosema lakini mfumo uliopo wa uendeshaji wa masuala ya kisiasa Na kiuchumi duniani upo centralized Na great powers so Ni vigumu Sana kujifanya kichwa ngumu labda uwe Kama Mugabe.sijui Kama umenielewa Apo bro
You are an apologist of mediocrity. Viongozi wa Africa wanaboronga criminally. Gaddafi mtu aliyekuwa anapata two billion USD every week from oil kaishia kujidunga cocaine, kuwa pedophile, kubaka wake za majenerali wake na mawaziri wake na watoto mpaka wananchi wake wamemuua.
Utasema hajaboronga huyu?
Huyo ndo wamemtawadha "King of Kings of Africa".
Of course superpowers watataka ku centralize power.
Viongozi wa Africa kushindwa kuvunja hiyo habari ya superpowers kama unavyoisema ndio kuboronga kwenyewe.
Kwa nini Annan asiwaseme viongozi maboya?
Whete is Africa's CDC?
Why shouldn't Africa develop it's own cures and vaccines?
Ha ha ha ha feather weight in the same ring with the heavy weight that's too difficult brother.
ukisema tuanze kulipana dunia haitatosha . wajapan wawalipe wakorea na wachina, wafaransa wawalipe ulaya kwa matendo ya napoleon, wajerumani walipe kwa matendo ya hitler, waturuki nao walipe, waroma nao walipe.......... mali ya wazungu ni product ya ubongo na mikono yao (hata kama ilikuwa ni kupora waafrika). waafrika tunalalama utafikiri sisi ndiyo watu wa kwanza kutawaliwa toka dunia ianze.Africa haiombi msaada kutoka America au Europe Ni lazima kupewa kiasi cha Mali inayovunwa Na iliyokwisha vunwa kutoka Africa hili sio ombi kwahiyo hakuna msaada nchi za Africa zinapata kutoka developed countries ila Ni surplus ya Mali ya waafrika iliyochukuliwa Na inayoendelea kuchukuliwa na wazungu for the so called colonialism and neo colonialism.Kama wewe Ni msomi utakuwa umenielewa.
ukisema tuanze kulipana dunia haitatosha . wajapan wawalipe wakorea na wachina, wafaransa wawalipe ulaya kwa matendo ya napoleon, wajerumani walipe kwa matendo ya hitler, waturuki nao walipe, waroma nao walipe.......... mali ya wazungu ni product ya ubongo na mikono yao (hata kama ilikuwa ni kupora waafrika). waafrika tunalalama utafikiri sisi ndiyo watu wa kwanza kutawaliwa toka dunia ianze.
Ukishindwa kujibu, wewe ndo feather weight.
We know all of your tricks now and ill motive towards Africans......!!!....
Utasema hajaboronga huyu?
Huyo ndo wamemtawadha "King of Kings of Africa".
Of course superpowers watataka ku centralize power.
.....
globalresearch.ca said:Dr. Cyril Broderick, A Liberian scientist and a former professor of Plant Pathology at the University of Liberia's College of Agriculture and Forestry says the West, particularly the U.S. is responsible for the Ebola outbreak in West Africa. Dr. Broderick claims the following in an exclusive article published in the Daily Observer based in Monrovia, Liberia. He wrote the following:The US Department of Defense (DoD) is funding Ebola trials on humans, trials which started just weeks before the Ebola outbreak in Guinea and Sierra Leone. The reports continue and state that the DoD gave a contract worth $140 million dollars to Tekmira, a Canadian pharmaceutical company, to conduct Ebola research. This research work involved injecting and infusing healthy humans with the deadly Ebola virus. Hence, the DoD is listed as a collaborator in a "First in Human" Ebola clinical trial (NCT02041715, which started in January 2014 shortly before an Ebola epidemic was declared in West Africa in March.
We know all of your tricks now and ill motive towards Africans......!!!