PARADIGM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 2,774
- 1,815
Nenda youtube search ebitoke utaona vichekesho vyake vilivyompa umaarufu. Ila sasa amepitiliza anajiona anaweza kutembea juu ya maji.Ndio nani huyu?
Nenda youtube search ebitoke utaona vichekesho vyake vilivyompa umaarufu. Ila sasa amepitiliza anajiona anaweza kutembea juu ya maji.Ndio nani huyu?
Well Said mkuuPrincipal moja ya kuchekesha, ukitoa kituko watu wakacheka usikiendeleze achana nacho ukikiendeleza kinaboa na watu wanachukia.
Hii gear yake imekuwa too much nadhan hata ben pol atakuwa anaboreka ila anamvumilia tu.