Ebitoke baada ya kumshindwa Snura aamua kumtusi Zari

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
7,738
2,000
Haka ka ebitoke sikapendi siku hizi kwelli yani

Sanaa imemshinda kazi kutukana wanawake wenzake na kujiona yeye ndio yeye

Huyu kila kukicha anawatukana wanawake wenzake kisa tu hawako bikra

Siku chache zilizopita aliamua kumpa dongo Snura ila Snura hakumjibu lolote leo kaamua kumtusi Zari na kujivika udugu na Diamond as if Diamond ni kaka yake

Yaani haka katoto kanaingilia maisha binafsi ya watu na kuacha suala la sanaa


Mashabiki leo wameshindwa kumvumilia na kumchana liiive asijione super star na vichekesho vyake uchwara ambavyo kila kukicha ni vilevile vilivyokaa kingonongono

Screenshot_2017-06-12-17-51-46_1.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom