Wasalaam wadau wote,
Nahitaji kununua electronics flaniflani kutoka ebay.com, lakini kila venda nayemcheki anasema hafanyi international shipment !! lakini kwa vitu kama DVDs, ama vitabu ni rahisi. Ebu nduguzangu nisaidieni, kama kuna mtu yeyote huwa ananunua vifaa vya elektroniki kutoka ebay akiwa bongo huwa inakuwaje?
Ahsanteni.
Wasalaam wadau wote,
Nahitaji kununua electronics flaniflani kutoka ebay.com, lakini kila venda nayemcheki anasema hafanyi international shipment !! lakini kwa vitu kama DVDs, ama vitabu ni rahisi. Ebu nduguzangu nisaidieni, kama kuna mtu yeyote huwa ananunua vifaa vya elektroniki kutoka ebay akiwa bongo huwa inakuwaje?
Ahsanteni.
Ebay international ndo hii. No Africa mzee!
Making payment
Many payment services exist to help you pay sellers quickly and easily in many different countries and currencies. For example, PayPallets you pay sellers all over the world by credit card in 16 different currencies!
Remember that you must pay the amount agreed in the seller-specified currency for any auction you win/item you purchase. (Currency fluctuations may cause the price/value of the winning bid in your currency to change between the time of placing the bid and making payment.)
International Postage
International delivery requires a little more effort than sending a package within your own country. ......!!!
Postage Costs
Delivery costs are typically much higher for international destinations and can vary greatly based on a number of factors. Use the Royal Mail Postal Calculator or the An Post Postal Calculator to calculate postage costs to and from any country.
Transit Times and Services
The transit time for international shipments varies based on the point of export and the destination country.
Insurance
It's good practice to insure your packages when sending them internationally.
Complexities of International Delivery
Everything being exported or imported must clear customs before it can enter the destination country. Specific documentation is required in order to clear customs. Learn more about what you need to include with your package to ensure a quick, seamless delivery.
Shida pia za kufanya online transaction kwa nchi zetu ipo isio tu kwa wauzaji na wateja, bali pia kwa mabenki yetu...mengi jot reliable na hayana hzo huduma za "onlione/digital banking.. Kununua kwa online transactions kama Ebay, Amazon nk nk, wahitaji kuwa na akanunti yao (mteja) na uweke details za akaunti yako (bank details) za kulipia. Sasa sijui kama benki zetu kama NMB, NBC, CRDB "Sidanganyiki Bank" ( Bank ya Posta Tanzania) nk nk zipo kihivyo...Just was CRDB ambayo nayo ni longo longo kinoma kuhusu malipo kwa fedha za nje au online.
Cha kufanya ni kuwatumia wale unaowafahamu ambao wapo nje wakununulie kisha wakutumie kama hivyo unavyohitaji haviwezekani kupatikana kwa eneo ulilopo kwa bei nafuu zaidi.
Mimi nipo nje ya nchi na natumia sana ebay kununua vitu na kuna vitu vya bei rahisi sana na ambayo ni vipya kabisa ambavyo bei yake ukienda bongo kwenye maduka ya hapo unakutwa umepigwa bei ya mara 3 yake ndio hapo nacheka....
ila mkuu mimi nilikuwa tayari kukusaidia hiyo problem yako yaani ningekununulia then vikaja kwenye adress yangu hapa nilipo then nikavichukua nikakutumia huko....
ila problem ambayo naweza kusema kwamba kwangu itakuwa vigumu ni maana kwanza kuna rafiki yangu yupo bongo nimemnunuliaSony Ericsson Satio ni bomba ina 12.1 megapixel camera na gharama yake ni kama 400,000/= lakini bongo unaambiwa kwamba 900,000/= baada ya kuinunua na video camera pia,ila tatizo lililonitokea ni kwamba baada ya kumtumia bongo vilifikia mikono mwa wafanyakazi wa postal office na kuviiba sasa hapo si unaona kama hasara imekuwa kwangu??Kwa hiyo kujicommite inakuwa vigumu sana,tatizo lingekuwa sio postal yetu hapo bongo mimi ningekuwa tayari kukusaidia!!
Je kwa kutumia courier kama DHL inakuwaje si afadhali kulipia huko DHL atleast mzigo unaweza fika kwa hili unasemaje tuko wengi hapa bongo tunahitaji vitu kama hivyo lakini ndio tatizo,huku vitu ni gharama kina siku niliwahi kuuliza data cable ua Blackberry pale Shoppers Plaza pale juu kuna mhindi anauza vitu vya electronics akaniambia ataniuzia kwa dola 100 jamani huu si wizi wa mchana kweupe,nilipomwambia hiyo sio bei yake akasema yeye anatoa Ulaya.
Yaani umeongea kitu ambacho nahisi ndicho kilichonitokea au kinataka kutokea. Hii posta ya bongo ni wezi sana. Mimi nilinunua blackberry toka ebay na jamaa akaniambia ametuma taehe 17/2/2010 lakini mpaka sasa kila nikienda posta hamna kitu, nikajaribu kuwauliza wakasema watacheki, nimeenda kama mara mbili hivi. Ebay wakanitumia namba ambayo wamepostia nikapeleka posta ya hapa wakasema hawaoni hiyo simu ilipo, inawezekana wameshanilizaMimi nipo nje ya nchi na natumia sana ebay kununua vitu na kuna vitu vya bei rahisi sana na ambayo ni vipya kabisa ambavyo bei yake ukienda bongo kwenye maduka ya hapo unakutwa umepigwa bei ya mara 3 yake ndio hapo nacheka....
ila mkuu mimi nilikuwa tayari kukusaidia hiyo problem yako yaani ningekununulia then vikaja kwenye adress yangu hapa nilipo then nikavichukua nikakutumia huko....
ila problem ambayo naweza kusema kwamba kwangu itakuwa vigumu ni maana kwanza kuna rafiki yangu yupo bongo nimemnunuliaSony Ericsson Satio ni bomba ina 12.1 megapixel camera na gharama yake ni kama 400,000/= lakini bongo unaambiwa kwamba 900,000/= baada ya kuinunua na video camera pia,ila tatizo lililonitokea ni kwamba baada ya kumtumia bongo vilifikia mikono mwa wafanyakazi wa postal office na kuviiba sasa hapo si unaona kama hasara imekuwa kwangu??Kwa hiyo kujicommite inakuwa vigumu sana,tatizo lingekuwa sio postal yetu hapo bongo mimi ningekuwa tayari kukusaidia!!
Mimi nilinunua simu ebay na nikalipia kwa kupitia visa card ya crdb, ambayo inabidi wakusajili, ila ukitaka kununua wakati unachagua weka option ya kutaka vendor ambao wataship world wide ndio zitakuja hapo utachagua na kufanya manunuzi. Sasa kwa bila kutumia posta je ni nia gani nyingine ambayo ni ya salama maana posta ni wezi wale
Asante Papizo bahati nilipata kwa bahati niliponunua external hardisk ile cable yake inaingiliana na BB yangu kwa hiyo ndio natumia,nashukuru kwa moyo wako nikihitaji kitu nitawasiliana nawe kwa kuku PMHuyo mhindi mwizi tu alitumia advantage kwa vile ni blackberry hana lolote hiyo cable unayosema huku tukisema tutumie shillings inaweza kuwa sh 5,000/= tu,Nipe kwanza aina ya blackberry unayotumia I mean model yake then nitacheck mkuu maisha siku zote ni kusaidiana......
Eh sasa jamani wapi pa kuaminika kutumiwa hivyo vitu vya ughaibuni kama hata DHL vinapotea au mpaka tusubiri wakulu wakiwa kwenye msafara wa muungwana ndio tuwaagizie kuwa jamani eh huko London kuna ndugu nani tafadhali muone atakupe camera yangu,du Tz kweli chibokoHivi hata ukitumia DHL vitu vinapotea ...
Nimewahi kupekea vitu kwa DHL
Ndugu kariakoo ni mchina tupu,tena yule mchina si wa ghuanzou bali wa vijijini, vitu vya hapo ukinunua hata siku haipiti vinakuwa vimeharibikaNendeni kariakoo mkapate mahitaji yenu.
Mkikosa fuateni zanzibar
Yaani umeongea kitu ambacho nahisi ndicho kilichonitokea au kinataka kutokea. Hii posta ya bongo ni wezi sana. Mimi nilinunua blackberry toka ebay na jamaa akaniambia ametuma taehe 17/2/2010 lakini mpaka sasa kila nikienda posta hamna kitu, nikajaribu kuwauliza wakasema watacheki, nimeenda kama mara mbili hivi. Ebay wakanitumia namba ambayo wamepostia nikapeleka posta ya hapa wakasema hawaoni hiyo simu ilipo, inawezekana wameshaniliza
Pole sana kwa yaliyokukuta,Shirika la posta ni kikwazo kwa watanzania kufurahia matunda ya utandawazi,manunuzi online ni choice ya mtu hayatakiwi kuingiliwa na huduma zao mbovu.kwani kwa wanachofanya wanawakomoa wateja wao ambao baada ya muda watawasusa.
Ushauri,kama unataka kununua vitu online unaweza kutucheki hapa (kivuko).Unahakikishiwa kupata bidhaa yako kwa ubora wa "world class" na la zaidi unahakikishiwa itafika Tanzania.kwani kivuko kama wateja wengine wa shirika la posta tunawaepuka kadri tuwezavyo.Barua tutapitishia huko lakini sio simu au vifaa vya thamani.kuna njia za nyingine kama DHL,UPS,TNT n.k tunazozitumia kuhakikisha unapata bidhaa uliyonunua kwa wakati muafaka,