Murano
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,056
- 1,128
Padri akiwa katika kibox cha
kuungamia dhambi kanisani,ghafla
muumini mmoja aliingia kanisani
na kupiga magoti
pembeni.,maongezi yakawa
hiviii!!
MUUMINI: Padri nimekuja hapa
kuungama dhambi zangu kwani
nadhambi kubwa sana.
PADRI: Endelea...
MUUMINI: Padri nilipokuwa
nyumbani kwa bosi, bosi alinifata
na kunambia kuwa amegundua
mimi nimeiba mil.50 na akasema
ananipeleka polisi,kwa kuwa mimi
sipendi kwenda polisi nikaangalia
huku na kule nikagundua tuko
wawili,nikachomoa bastola
mfukoni nikamuua.,JE,YESU
ATANISAMEHE?
PADRI: Utasamehewa...
MUUMINI: Pia nilipomuua
nikaanza kutoka nje,kufika
mlangon nikakutana na mke wa
bosi akanambia kuwa mume wake
yuko wapi,nikaona ananiletea
kiwingu,nikaangalia huku na kule
nikagundua tupo wawili,nikamuua
.,JE,YESU ATANISAMÈHE NA
HILI?
PADRI: Utasamehewa...
MUUMINI: Baada ya kumuua mke
wake nikaingia kwenye gari
niondoke,kufika getini mlinzi
akakataa kunifungulia mlango
akidai amesikia kishindo ndani
hvyo anataka kujua ni cha
nini.,nikaangalia huku na kule
nikagundua tuko wawili,nikamuua
.,JE NA HILI PIA YESU
ATANISAMEHE??
PADRI: Utasamehewa....
MUUMINI: Baada ya kumuua
mlinzi nikafungua geti na kisha
kuondoka,nilipofika kwangu
sikukaa hata nusu saa nikasikia
mtu akibisha hodi,kufungua ni
mtoto wa bosi. Kumuuliza
kulikoni akanambia yaliyojiri huko
na kisha kunionyesha diary
ambayo inaonyesha kuwa baba
yake kabla hajafa alikuwa na
appointment na mimi.
Nikamuuliza kwani nani anajua
mwingine? Akajibu 'hakuna
anaejua ni wewe tu na nikitoka
hapa naenda polisì'.
Nikaona huyu
ataniletea majanga,nikaangalia
huku na kule nikagundua tupo
wawili,nikamuua na kuichma
moto ile diary.,JE NA HILI PIA
YESU ATANISAMEHE??
PADRI: Kimyaaa...
MUUMINI: Baba mbona hunijbu
nakuuliza na hili pia Yesu
atanisamehè??
MUUMINI: KImyaa..
Yule jamaa kuamka anakuta padri
hayupo pale kwenye kibox cha
kutubu,kuangalia pembeni
anashangaa kuona kwenye kona
kama nguo inatikisika.,akaenda
pale kufunua akamkuta padri
kajifunika majoho ya
kusalia,akamuulza kulikon Padri?
Padri akajibu 'nimeangalia huku
na kule nikagundua tuko wawili'.
CHEZEA KIFO WEWE
kuungamia dhambi kanisani,ghafla
muumini mmoja aliingia kanisani
na kupiga magoti
pembeni.,maongezi yakawa
hiviii!!
MUUMINI: Padri nimekuja hapa
kuungama dhambi zangu kwani
nadhambi kubwa sana.
PADRI: Endelea...
MUUMINI: Padri nilipokuwa
nyumbani kwa bosi, bosi alinifata
na kunambia kuwa amegundua
mimi nimeiba mil.50 na akasema
ananipeleka polisi,kwa kuwa mimi
sipendi kwenda polisi nikaangalia
huku na kule nikagundua tuko
wawili,nikachomoa bastola
mfukoni nikamuua.,JE,YESU
ATANISAMEHE?
PADRI: Utasamehewa...
MUUMINI: Pia nilipomuua
nikaanza kutoka nje,kufika
mlangon nikakutana na mke wa
bosi akanambia kuwa mume wake
yuko wapi,nikaona ananiletea
kiwingu,nikaangalia huku na kule
nikagundua tupo wawili,nikamuua
.,JE,YESU ATANISAMÈHE NA
HILI?
PADRI: Utasamehewa...
MUUMINI: Baada ya kumuua mke
wake nikaingia kwenye gari
niondoke,kufika getini mlinzi
akakataa kunifungulia mlango
akidai amesikia kishindo ndani
hvyo anataka kujua ni cha
nini.,nikaangalia huku na kule
nikagundua tuko wawili,nikamuua
.,JE NA HILI PIA YESU
ATANISAMEHE??
PADRI: Utasamehewa....
MUUMINI: Baada ya kumuua
mlinzi nikafungua geti na kisha
kuondoka,nilipofika kwangu
sikukaa hata nusu saa nikasikia
mtu akibisha hodi,kufungua ni
mtoto wa bosi. Kumuuliza
kulikoni akanambia yaliyojiri huko
na kisha kunionyesha diary
ambayo inaonyesha kuwa baba
yake kabla hajafa alikuwa na
appointment na mimi.
Nikamuuliza kwani nani anajua
mwingine? Akajibu 'hakuna
anaejua ni wewe tu na nikitoka
hapa naenda polisì'.
Nikaona huyu
ataniletea majanga,nikaangalia
huku na kule nikagundua tupo
wawili,nikamuua na kuichma
moto ile diary.,JE NA HILI PIA
YESU ATANISAMEHE??
PADRI: Kimyaaa...
MUUMINI: Baba mbona hunijbu
nakuuliza na hili pia Yesu
atanisamehè??
MUUMINI: KImyaa..
Yule jamaa kuamka anakuta padri
hayupo pale kwenye kibox cha
kutubu,kuangalia pembeni
anashangaa kuona kwenye kona
kama nguo inatikisika.,akaenda
pale kufunua akamkuta padri
kajifunika majoho ya
kusalia,akamuulza kulikon Padri?
Padri akajibu 'nimeangalia huku
na kule nikagundua tuko wawili'.
CHEZEA KIFO WEWE