ebana eh!mi njaa inaniuma,wewe?

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,710
23,646
168537_554091004623077_1019964186_n.jpg

sasa leo nawapa offer TMK family saudari Safari_ni_Safari Boflo Mtambuzi Dark City The Boss watu8 Tized platozoom Erickb52 Asprin Kaizer HorsePower
pacha wangu SnowBall Arushaone
partner M'Jr KIKUNGU na mwenzie Sikonge bila kumsahau Eiyer Jiwe Linaloishi Baba V (staff met wake mulugo/mulungu/dickson/hassan/hamimu/augustino) Ruttashobolwa shemejiiiiiiiii Nicas Mtei kuja huku
na wengine wooote wenye mapenzi mema na matumbo yao!
twenzetuni!
 
Last edited by a moderator:
Lile li ugali ligumu analopenda Kongosho​litapatikana?

ahahahha hiyo ilikua enzi zileeeee Kongosho siku hizi anakula sausage,pizza,broccoli,prawns zenye garlic kidogo,lamb iliyokuwa marrinated na yoghurt bila kusahau choc drink!
wacha kabisa bana! Kongosho sasa hiv atabadili ID aitwe konniebabe!
acha tu!yaliyotokea hapo juzi kati ulipopotea kidogo si madogo ati!
 
Last edited by a moderator:
Mtani snowhite,wali wa UWELE na UYOGA wa KUPWAZA utakuwepo kweli hapo,chezea wanyamwezi wewe...............hata sijui kama hata dada Kaunga alishawahi kuula maana miaka ya kati ya 70 alikuwa bado ananyonya..............huyu Sikonge alikulanga lakini tangu miaka ishirini iliyopita anabeba mabox kishasahau,lol!............Lakini hii restaurant hiiko kule MFARANYAKI kweli,i doubt.
 
Nisahau wapi wewe Bana Kikungu? Mabox niliachana nayo miaka kibao na sasa nakula Bata zangu hapa Sikonge.

Wee ukija likizo huku Sikonge nijulishe tu tuonane hapa Stand ya Bus Sikonge tupate Bia moja .

Sasa hivi Mahindi na Maboga ndiyo vinakolea. Ntalali ndiyo wacha. Haya, picha yangu ya masaa mawili nyuma hii hapa.

Sikonge 1.JPG

View attachment 88371

Ha ha ha ha ha ............we mdugu wane we,nitakuja bwana mwaka huu katikati.........dada yangu yuko hapo madukani wala usikonde.........halafu mfuru sikjakula siku nyingi,hata yale Makulwa,ha ha ha ha ......tulikuwa tunafuata mpaka Ipole kwa miguu,lol,kweli maisha safari ndefu ndugu yangu we Sikonge
 
Best asante sana, Juzi juzi nimepita cona ya ubalozi wa marekani kuelekea msasani kuna restauranti inaitwa ''MCHAMBAWIMA'' waijua yakheee! ee bwana!

Huyu jamaa mwenye a.k.a nyingi hivyo hapimiki siku izi, watoto wamefeli form four zaidi ya asilimia tisini, ikabidi apandishe madaraja ya ufaulu ili angalao zile three chache zisogee four na zero apate ujiko. mfano B = 65%-79%, C = 50%-64%,
D = 35%-49%, F = 0%-34% kwa form four. Hataki mchezo. Chezeya Agustino mulungu wewe!!
 
Back
Top Bottom