eating pork

Hatari kabisa, baada ya maandamano ya kumngia hosni madarakani ni zamu ya kukungoa wewe(bin bor) janvini.
 
Mods walikataza picha za kitimoto humu. Hata hivyo yule mdudu ni mtamu sana.
 

<CENTER class=clrfix> </CENTER>
Raha hii hapa bana
 
Daah! nyie watu mmegusa kwenye anga zangu! Nikija huko mjini nitakuja na pigi kama watano hv, nitathroo bonge la "poko grili pati" maalum kwa ajili ya wana JF tu!...tunafanya pikniki flan na kumchoma huyu mdudu! teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…