Usile vyakula vyenye Gluten ,hii ni protein inapatikana Kwa baadhi ya nafaka kama vile Ngano .
Unaonaga ukila miskonzi, mibofulo ,mikate , Unachoooooka??? Ni Kwa sababu ya hii Gluten .
Kuna watu wanapata Matatizo ya Mfumo wa Chakula Kwa sababu yahii hii protein.