U
mtukwao said:Elizabeth,
True theres safety in numbers but will that safety be to all or just some of the members? Umoja ni nguvu, yes but nguvu kwa nani? kenya pekee au kwetu sote? And why has it suddenly become important? It was not in 1977, when Kenya brought it down. The reasons are well known, kenya wants all and nothing for anybody else. Nguvu and Safety in numbers are better built through shared benefits! They are more sustainable!
And we do not hate kenyas at all, we are just suprised how kenyans can be so abusive to our leaders!!
proud tanzanian
Unregistered said:Wait until you see how abusive they are to THEIR leaders
Unregistered said:Nadhani mumemsikia au kumsoma wenyewe namna mkenya alivyo "arrogant". Anasema Kenya ni super power ya Afrika Mshariki. Anasema kuwa watanzania kazi yetu ni kukaa chini ya minazi kusubiri ruzuku ya serikali kama ilivyokuwa wakati wa vijiji vya ujamaa. Anasema kuwa katika eneo hili la Afrika mashariki inayofahamika ni Kenya tu iwe michezoni na kadhalika. Huyo ni Mkenya halisi na lugha yao siku zote.
Lakini Mkenya huyo hakusema upande wa pili kwamba wao pia ni wezi; kwamba katika jiji la Nairobi pamoja na kuwepo mjumba mazuri ya ghorofa pia kuna nyumba za maboksi; ambapo watu huweka vinyesi kwenye mifuko ya plastiki kwani hawana vyoo; kwamba wizi wa Kenya pia upo katika fikra zao ambapo ukipanda Kenya Airways unapoingia Tanzania huwa hawasemi kuwa sasa unaingia Tanzania isipokuwa utasikia tu upande ule wa kushoto au kulia kuna mlima Kilimanjaro ili abiria wafahamu kuwa Mlima Kilimanjaro upo Kenya.
Mkenya huyo licha ya kuikashifu Tanzania hajazungumzia umaskini mkubwa uliopo Kenya. Hao ndio Wakenya wanaotaka Shirikisho la Afrika Mashariki kwa manufaa yao ya kiuchumi na kibiashara.
Je, mnawataka Wakenya hao? Hiyo ndiyo sura yao halisi. Lugha ya jeuri na majivuno kwamba wao wamesoma sana na kwamba watanzania hupeleka watoto huko Kenya. Ni kweli watanzania hupeleka watoto wao huko Kenya na pia Uganda, kwa hiyo kwa Wakenya hiyo ni sifa tosha kweli kweli. Wao ni Super Power.
Nawathibitishieni wao ni super power katika wizi na "arrogance". Vipi Kijeshi? Sina hakika na hilo, pengine pia ni Super power. Labda siku moja wakati wa Shirikisho tutakuja ona ni nani super power kati ya tanzania na Kenya, kwani kwa maoni yangu kama ndio tabia hii ya wakenya ya kuwadharau watanzania itaendelezwa ndani ya shirikisho ni lazima litajitokeza jambo na hapo ndipo super power wa kweli atakapofahamika. Wakenya hao waje, Tanzania na watamke lugha hiyo vijijini ndani ya Tanzania waseme nyie watanzania hamjasoma, hapo ndipo watatambua maana ya kuzuia ulimi wao.
mzalendo halisi
Unregistered said:There is no need for a contest match over who is better or worse,poorer or richer ,stronger or weaker etc .What we need is discussion free of biases.It is only an uneducated mind that openly displays its bias.
What I know having lived in the three countries is that where as KE and UG are forging ahead with development having identified their SWOT,TZ is still reeling in self denial.They want to blame their problems on others and are over protective (Xenophobic).They wouild rather trust indian expertriates and south africans (Whites)than their fellow East Africans,Inspite of the latter being more qualified and cheaper.They simply do not want to accept that fellow blacks are more qualified than them(inferiority complex).
I challenge them to travel to kenya and Uganda and elsewhere to get more exposure. some of the comments in this forum exhibit a high level of ignorance.
I however do have a lot of respect for young tanzanians who are coming out of the universities and who have accepted the problems at hand in their country.they are the hope for the future.
Let us use this forum for intellectual ,insightful issues of mutual benefit rather than for pouring diabolical diatribe and bigotry.
No man is an Island .we all need each other .No man is perfect.we should work together inpite of our short comings.
Ndugu yangu, hapo umenena. watu wote sio sawa. and there's no way a patriotic individual will accept the shortcomings inherent in his or her country. the three east african countries are unique in their own ways, and i believe this will be an added advantage for all. the tanzanians can show us kenyans the way of being polite as we show the the way of being confident and go-getting (not arrogant my tanzanian friend), while the ugandans will bring all their enterprising spirit into the federation.Nego said:Tuungane Africa Mashariki...kuogopana ndugu zangu haifai kabisa...kama wakenya ni wazuri, basi mimi nafikiri ndio sababu nzuri zaidi ya sisi kuwakubalia waje; Marekani imeendelea sana licha ya kuwa kubali wageni...tena ukiwa mzuri ndi kabisa wataharakisha uungane nao. Kwa hiyo kwangu mimi naona umoja wetu ni Bora zaidi kama tukishirikiana....wakenya watuambukize ujasirialiamali, sisi wa-TZ tuwaambukize amani, etc