hio nafkiri pia inafanya data recovery ijaribu.Kiongozi nakuomba kama una software yoyote nzuri ya kuweza kurudisha data kwenye flash, inasoma 0bytes na jana nimebebea vitu muhimu saaana. Msaada pls online naona wanataka ununue
Sasa inasoma 0bytes kwa maana gani? Kama ni shortcut virus tafuta software ya kuondoaKiongozi nakuomba kama una software yoyote nzuri ya kuweza kurudisha data kwenye flash, inasoma 0bytes na jana nimebebea vitu muhimu saaana. Msaada pls online naona wanataka ununue
Sasa inasoma 0bytes kwa maana gani? Kama ni shortcut virus tafuta software ya kuondoa
Zipo online.
Ukishindwa tafuta command ya kuondoa shortcut virus kwenye flash, command zipo online pia.
Kama data ulizifuta bahati mbaya basi tafuta software inaitwa Recuva, ipo online pia.
kama huku format vipo kwenye folder la windows old ambalo utalikuta kwenye local disk cMkuu Chief Mkwawa baada ya kubadili window vitu vilkivyoko kwenye Local Disk C vimefutika nawezaje kurudisha Mkuu?
Shukrani zangu za Dhati kwanza Mkuu!
Utavipata mkuu Mimi nilikua na external hdd ikaleta maluwe luwe nkai format zaidi ya Mara moja Kisha nikafanya recover kwa EASEUS DATA RECOVER na nmefanikiwa ludisha data zangu zaidi ya 250Gb but kumbuka download EASEUS DATA RECOVER ambayo Ni crack Kisha angalia YouTube jinsi ya Ku crack kingine ujuwe hawa EASEUS wana software mbili ambayo Ni EASEUS DATA REVOVER na EASEUS PARTITION MASTER kwa kesi yako download ambayo n data recoverMkuu Chief Mkwawa baada ya kubadili window vitu vilkivyoko kwenye Local Disk C vimefutika nawezaje kurudisha Mkuu?
Shukrani zangu za Dhati kwanza Mkuu!
Naomba niwekee Link Mkuu!Utavipata mkuu Mimi nilikua na external hdd ikaleta maluwe luwe nkai format zaidi ya Mara moja Kisha nikafanya recover kwa EASEUS DATA RECOVER na nmefanikiwa ludisha data zangu zaidi ya 250Gb but kumbuka download EASEUS DATA RECOVER ambayo Ni crack Kisha angalia YouTube jinsi ya Ku crack kingine ujuwe hawa EASEUS wana software mbili ambayo Ni EASEUS DATA REVOVER na EASEUS PARTITION MASTER kwa kesi yako download ambayo n data recover
imegomaje?Imenigomea bosi