E ni Economics haisomwi o level ataikuts A levelKwani kwenye EGM ile E ni English mkuu
ndiyo mkuu, kwa o level wanahesab ile E kama english kwa wale ambao hawasomi economics. ila kwa wale wanaosoma economics watahesabiwa E YA economics
msaada tafazal
mwenye kufaham shule ya eagle high school naomb anijuze ada yao ni bei gan.
na je wanapokea private candidate?
kwa {FORM FIVE}
msaada tafazal
mwenye kufaham shule ya eagle high school naomb anijuze ada yao ni bei gan.
na je wanapokea private candidate?
kwa {FORM FIVE}