EACOP vs Lamu pipeline


The bystanders will never agree this.
 



Nimemsikiliza James Mataragio
Nimepata insights kadhaa muhimu kuhusu EACOP

βœ… Tanzania itakua na 15% sawa na wenye mafuta Uganda

βœ… Total watajenga jumla ya kilometers 300 za barabara kama sehemu ya mradi

βœ… Total wataimarisha zaidi reli ya kati kwa kujenga depots zaidi ya 8

βœ… TRC watabeba mzigo wa Total kwa zaidi ya 80%

βœ… Tanesco watafanya Biashara kubwa sana Total na ya kudumu wakati wa ujenzi na baada ya ujenzi

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ•―οΈ Magufuli Legacy Lives πŸ•―οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ


 
OIL & GAS / AFRICA / PIPELINES

French banks disavow Total’s EACOP plans​

Three French banks have committed not to provide project financing for the Total-led East African Crude Oil Pipeline (EACOP).

By Ed Reed22/04/2021, 4:04 pm


Total news
Register here for the Energy Voice daily newsletter, bringing you key news and insight from across the global energy landscape.

Sign Up

Three French banks have committed not to provide project financing for the Total-led East African Crude Oil Pipeline (EACOP).

BNP Paribas, SociΓ©tΓ© GΓ©nΓ©rale and CrΓ©dit Agricole will not participate, France’s Les Echos newspaper reported.

β€œThe project is too hard to defend,” Les Echos quoted an unnamed source as saying.

A statement from Reclaim Finance noted that Barclays, Credit Suisse and ANZ had also said they would steer clear of the EACOP plan.

The environmental NGO called on Natixis to follow suit.

BankTrack researcher Ryan Brightwell called on Standard Bank, SMBC and ICBC β€œto take these concerns seriously and withdraw their support”.

Total committed to the Lake Albert development, which includes EACOP, on April 11. However, it has not concluded talks on securing the expected $2.5 billion of financing thought to be required to build the world’s longest heated pipeline.

CrΓ©dit Agricole has provided $7.3 billion of financing to Total between 2016 and 2020, while BNP Paribas provided nearly $6bn. The four French banks in total have provided more than $16bn to Total, it said.
Amundi, in which CrΓ©dit Agricole is the largest shareholder, is the second largest shareholder in Total after BlackRock.

Broader push​

Reclaim Finance’s founder Lucie Pinson welcomed the move, saying it was a β€œmajor blow for this polluting and unjust pipeline. Natixis and other international banks should now follow their lead.”

Pinson went on to say the banks should not finance new oil and gas projects of Total, while shareholders should vote against the company’s climate strategy.

Total is holding its AGM on May 28. Shareholders will vote on Total’s plans for carbon neutrality by 2050, with a 15% reduction by 2030.

Reclaim Finance has criticised Total for failing to include its scope 3 emissions in its carbon neutrality plans, outside Europe.

The NGO has said the vote at Total’s AGM is about communication. β€œTotal does not need to be encouraged to communicate on its climate strategy; Total needs to be pushed to adopt a climate strategy that is compatible with a viable climate trajectory,” it has said.

Shell is also holding a vote on its climate ambitions in May and has come under fire for its plans.

 

Kuna mjinga mmoja Teargass anasema eti bank CrΓ©dit Agricole is a second largest shareholder in TOTAL while the fact is, Amundi is a second largest shareholder after BlackRock.
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

Amundi, in which CrΓ©dit Agricole is the largest shareholder, is the second largest shareholder in Total after BlackRock.
 
 
Hehehe Poleni sana
MNAFIKIRIA MUFARANSA ANAONAGA MTU MWEUSI KAMA NI MTU! Mtego bila chambo haunasi!
Poleni sana wanabongo lala tena nasema Poleni! Mkoloni amerudi tena,wakati huu na punje za mahindi(reli,bomba,Bara Bara,depot )ambazo atarushia kuku(tanzanians and ugandans) ili waingie mtegoni na hivyo basi wajikute wamenaswa na hapo mtegaji aweze kufyonza na kuiba raslimali za kuku (Ugandans and tanzanians) ! Mnafikiria Mufaransa ana roho safi akimwaga mabilioni hayo yote ya hela ati anatengenezea mtu mweusi miundo msingi kama reli,mabomba ya mafuta,bohali na kadharika ati ili mtu mweusi anufaike! Poleni tena. Nyinyi na ndivyo mnajifanyaga vichwa ngumu ati hamtaki kuambiwa kitu hamtaki kusaidiwa! Hamtaki mambo ya Kibeberu nataka niwakumbushe kwamba mufaransa ndiye mbeberu mbaya zaidi ya wote duniani, mwenzake ni mubelgiji . Nawatahadharisha kwamba itabidi mumtii na mfanye vile mufaransa atawaamuru mufanye ,mamlaka itakayo kaidi amri ya Wafaransa viongozi wake watakuwa wanauwawa kama vile Gadaffi, Thomas sankara walivyo angamizwa. Angalia yaliyompata Laurent Bagbo wa ivory coast alipojaribu kupinga ubeberu mambo leo wa mufaransa katika nchi yake . Muulizeni jirani wenu Paul Kagame wa rwanda vile Wafaransa walivyochangia mauaji ya halaiki nchini mwake. Just imagine Wanajeshi wa ufaransa waligeuza makaburi ya halaiki ya rwanda kuwa viwanja vya kuchezea kandanda. 😭😭😭🐏🐏
 
Hili povu toka kwa mkabila wa Kikuyu! Ngoja 2022 utapata wakati muhafaka wa ku-express frustration na chuki! Mambo ya EACOP achia Uganda na Tanzania!
 
Hili povu toka kwa mkabila wa Kikuyu! Ngoja 2022 utapata wakati muhafaka wa ku-express frustration na chuki! Mambo ya EACOP achia Uganda na Tanzania!
 
Hehehe We Kenyans prefer poverty in freedom to opulence in slavery! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hehehe We Kenyans prefer poverty in freedom to opulence in slavery! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ‘πŸ‘πŸ‘

That has never been the slogan of Kenyans.
Treat the Kenyans the way you wish, provided you pay them.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…