Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Nashukuru kuona kumbe ulikuwa tayari jibu unalijua.Nachelea kuamini kwamba Rwanda inanufaika na mpango huu wa EU huku ikitazamia kuwafaulisha hao wakimbizi kwy nchi za DR Congo na Tz ambazo maeneo yao yanayokaliwa na binadamu ni 25% @. Mpango huo umehusu Rwanda na EU tu hadi sasa.
Kitendo cha Rwanda kukubali kupokea wakimbizi toka EU kwa ahadi za fadhila kinapaswa kustukiwa na EAC.
Rwanda ni nchi ya pili kwa udogo kwy sayari ya dunia na ni nchi barani Afrika ambayo imesongwa na ukaazi wa watu (densely populated)...
Ndiyo maana kuna post yangu moja humu JF ambayo maudhui yake yalikuwa kwamba Tz isichague Wabunge wa EALA kwa kuangalia maslahi ya vyama (kutokana na vyama vya siasa) badala yake upatikanaji wao uwe ni kwa njia shindanishi ya kuomba dhamana hiyo kwa mfumo wa maombi ya ajira ili kupata umahiri na tija na watakaoshinda wapewe targets za kwenda ku-achieve huko EALA kwa manufaa ya JMT.Aliyeruhusu hawa jamaa waingie EAC alikaribisha nyoka.
Tofautisha UK na EU unachemka mkuuKitendo cha Rwanda kukubali kupokea wakimbizi toka EU kwa ahadi za fadhila kinapaswa kustukiwa na EAC...
Brexit haijafikia hatua ya mwisho ya mchakato wake hivyo bado UK ni EU kwa namna moja au nyingine.Tofautisha UK na EU unachemka mkuu
Tz ikiwa bado inapambana kudhibiti IS kule mpakani na Msumbiji, mara tena huko Kaskazini Magharibi Rwanda inakaribisha waasi waliokimbia vita makwao na kuwa wakimbizi. Vipi km hawa wakimbizi wakija baadaye huko kubadilika na kuwa km IS dhidi ya ama DR Congo au Tz?Brexit haijafikia hatua ya mwisho ya mchakato wake hivyo bado UK ni EU kwa namna moja au nyingine.
NukuuBrexit haijafikia hatua ya mwisho ya mchakato wake hivyo bado UK ni EU kwa namna moja au nyingine.
Wewe Mzenji acha kututabiria mabaya.Nyie hamtaki wakimbizi? Na nyie siku kikinuka hapa mtakimbilia wapi? Au mnaamini propaganda za kijinga kwamba hii ni nchi ya amani na itaendelea kubaki hivyo?
Wewe Mzenji acha kututabiria mabaya.
Binafsi namuona Kagame kama Putin wa East Africa. Atakuja kuzua balaa siku za usonii.
Kuna jamaa alikuwa anaogopwa nao wote. Nchi moja jirani ilizuia tu ndege za Tanzania kuingia kwa sababu ya COVID-19, yeye akafuta kabisa leseni ya ndega zao kuja Tanzania ikabidi waombe upya na kusema kuwa mambo yaishe.Hana uwezo huo! Ataishia tu kuiba madini ya DRC. Akijaribu kusumbua nchi kama Tanzania, dakika 0 tu tunamchakaza.
NB: Iwapo tu Rais atakuwa siyo huyu Ibn Batuta.
Yule jamaa kwenye ishu ya jino kwa jino, nilikuwa namkubali sana. Ugomvi wetu ulikuwa tu kwenye ishu ya kutonipandisha daraja! Aisee nilimchukia sana.Kuna jamaa alikuwa anaogopwa nao wote. Nchi moja jirani ilizuia tu ndege za Tanzania kuingia kwa sababu ya COVID-19, yeye akafuta kabisa leseni ya ndega zao kuja Tanzania ikabidi waombe upya na kusema kuwa mambo yaishe.