EU mbona hawakuibagua United Kingdom?
UK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
..tanzania pia si tumetekeleza yote isipokuwa ardhi?
yaani mtu kuongea tuu unakimbilia kutimuana?acha wafanye kazi yao na sijaona dharau yeyote hapo..Tanzania inasubiri nini kumtimua Dr.Seziraba?
..hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania kwamba ktk EAC tunachuma tusichopanda?
..kwani Rwanda wana mchango gani ktk EAC mpaka wawe na kiburi na dharau kiasi hiki kwa Tanzania?
yaani mtu kuongea tuu unakimbilia kutimuana?acha wafanye kazi yao na sijaona dharau yeyote hapo
..Tanzania inasubiri nini kumtimua Dr.Seziraba?