EA SPORTS vs KONAMI VIDEO GAMES SPECIAL THREAD (KENYA)

EA SPORTS vs KONAMI VIDEO GAMES SPECIAL THREAD (KENYA)

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
Najua wengi wetu tumecheza sana video games na bado wengine tunaendelea kucheza video games. Katika kucheza kwako games umewahi kucheza game zilizotengenezwa na kampuni ya EA SPORTS au KONAMI? Maana haya makampuni yametengeneza games nyingi sana kama vile;

-FIFA 98

-PES 2011 -FIFA STREET 2003

-PES 2010

-NBA 2010

-NBA 2009

-FIFA 2015

-PES 2015 -TIGER WOOD TGA TOURS

-SILENT HILL

-METAL GEAR

-ROAD FIGHTER

-NBA 2015

-NBA STREET SHOWDOWN -HARRY POTTER

-FIGHT NIGHT ROUND

-NHL HOCKEY

-BATMAN RETURN

-FIFA STREET

-OKAMI KAKUSHI etc.

sasa basi ebu tuelezane ni kampuni gani ambayo inatengeneza games nzuri kuliko nyenzie kati ya hizi mbili?. Maana hivi karibuni mzigo wa FIFA 2015 na PES 2015 uko njiani kutoka ila kwa sasa kuna demo. Je, tutegemee mabadiliko makubwa au?. Kazi kwenu wadau wa video games
 
NFS cjaiona BTW EA sport wako vizuri sana kwenye games za sports kucompare na konami,
EA sport to the game
 
EA sports baada ya miaka ya 2000 ndiyo wamekuwa vizuri tena kwenye sports tu.

Konami kabla ya miaka ya 2000 kipindi hicho tunatumia Nintendo 64 na Play Station One ilikuwa ndiyo habari ya mujini.

Lakini bado,
Katika games nyingine konami wako juu sana. EA Games wanaharibu kazi wala siwafagilii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom