Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Sijui ni nani aliye/anayeandaa vitabu vya historia ya Kenya ndani ya bara la Africa? Huyo mtu ni mahiri sana maana amefanikiwa kuaminisha watu mambo anayotaka yeye huyo mwaandaji. Historia ya Kenya kwenye ukombozi wa nchi nyingi Africa si nzuri, there are scars of biblical propotions na lingekuwa jambo la kiungawana kutumia historia kama mwalimu ili kuboresha mambo huko mbeleni. Wakati nchi nyingi zijitoa kwa "pesa na maisha" na kushinikiza trade embargos na Afrika Kusini, serikali ya Kenya waliona opportunity nzuri ya kufanya biashara na makaburu! Hili ni doa baya sana. Sina hakika wananchi wa Kenya walijua kwa kina hili? tuachie hapo.
NB: Kibaridi, Mandela alikaa jela miaka 27 na sio 35.
Bugyakanandi,FJM,Nzi,
..SADC ni market kubwa zaidi kuzidi EAC.
..sijui kwanini wa-Kenya hawaipendi SADC lakini wanaiga mambo yake. Kwa mfano, they confess to have copied SADC defence protocal word-for-word.
..kwanini SADC na EAC zisiunganishwe na kuwa one big economic block??
Bugyakanandi,FJM,Nzi,
..SADC ni market kubwa zaidi kuzidi EAC.
..sijui kwanini wa-Kenya hawaipendi SADC lakini wanaiga mambo yake. Kwa mfano, they confess to have copied SADC defence protocal word-for-word.
..kwanini SADC na EAC zisiunganishwe na kuwa one big economic block??
Kenya wako COMESA na Tanzania wako fine kabisa na hilo maana ni interest ya Kenya. Jambo ambalo sielewi ni hii discomfort kwa sababu TZ iko SADC!
FJM,
..lakini COMESA ina-include karibu nchi zote za SADC.
..labda niulize: kwanini KENYA wanaipenda COMESA lakini wanachukia SADC??
South!
Kenya haipendi kufunikwa! Inapenda yenyewe ndiyo iwe kila kitu!
JokaKuu,Bugyakanandi,FJM,Nzi,
..SADC ni market kubwa zaidi kuzidi EAC.
..sijui kwanini wa-Kenya hawaipendi SADC lakini wanaiga mambo yake. Kwa mfano, they confess to have copied SADC defence protocal word-for-word.
..kwanini SADC na EAC zisiunganishwe na kuwa one big economic block??
JokaKuu,
Kule SADC ni Nchi moja ambayo ina Usemi/ushawishi mkubwa, SA. Kisiasa, Tanzania inajitambulisha na SADC kwasababu kwa miaka mingi imekuwa sehemu hifadhi ya "wakombozi" wa nchi za Afrika kusini kujifichia. Angola na Mozambique walipata sehemu ya kujihifadhi.
Niseme kwa mtazamo wangu Tanzania and the "big-brother" at SADC wanatofautiana in ideologies. Na ile unrest ya siasa katika ANC ndio inaonyesha kuna matatizo. Yule ambae huwa na ushawishi mkubwa SADC haonyeshi ushirikiano na SADC members kimawazo. Na hilo ni kikwazo for socio-political and economic progress! Wakati mwingine tunafaa tuwe practical to see to realize feasibilty of certain goals.
Unaposema SADC ni kubwa what do you mean? Wakati mataifa mengi kule Afrika kusini, misingi ya katiba yao, mfumo wa siasa zao is in "tatters".
Nchi nyingi SADC ukiondoa SA, hawajaweza kufaulu kucreate an environment ambao wananchi watapata ajira bila kunyanyasua au kubaguliwa na wale makaburu na wachina ambao wana makampuni ya uchimbaji migodi.
Hali ni ile ile na serikali za Zambia Mozambique na Botswana zimeshindwa kuwapa ajiri wanacnhi wao kwa kutokua na misingi ya ajira iliyoundwa kuwa-protect wafanyi kazi.
Utakuta watu wanakufa kwenye mines kwa kuwa exploited na kulipwa centi ndogo, misingi ya kusambaza huduma za afya nazo zimesambaratika. Ipo kazi na usijidanganye, ili Tanzania iweze kurealiza benfits za kule SADC, it migh taka another golden-jubilee.
Sioni kama position ya "the-big-brother" itageuka hivi karibuni. There is poor population intergration kule Afrika Kusini. Wengine kule SADC walionyesha wako tayari kuchoma wageni kwa kuingilia makazi zao.
Na hapa EA hii project ya M7 ya kufufua EAC inajiribu kufungua mipaka kwa watu wa EA regardless. Changomoto hili ni kubwa kwa Tz kujaribu kuipa mgongo. Hakuna haja ya kuonyesha a soft spot for "ukubwa wa taifa"
Kwa upande wa Somalia, kama utakumbuka hii operation ya sasa kwa mfano (operation linda nchi) wakati inaanza mawasiliano ndani ya EAC hayakuwa clear. Nchi wanachama walisema wazi hawajaelewa ni nini hasa lengo la hiyo operation. Na mambo yalikuwa hivyo hadi pale wakubwa walipokutana London. Hata hivyo nakubali geographically, Kenya inadhurika zaidi na matatizo ya Somalia hivyo wanakuwa wa kwanza ku-react. Kwa upaande wa Tanzania, knowing what we know ni vigumu kwangu mimi kuamini kwa mfano leo hii Tanzania ikiwa kwenye mgogoro na nchi jirani i.e Malawi au Zambia, Kenya watasaidia. Labda kama mambo yamebadilika siku hizi lakini historia ya Kenya inaweza kutupa dira!.
NB: Kibaridi, Mandela alikaa jela miaka 27 na sio 35.
Labda miaka ya 70 na hata 80, lakini kwa sasa ideology ya Tanzania haina tofauti kubwa sana na nchi za SADC including huyo unayemuita big brother.
Kwenye M7, huyu mkubwa angetaka sana kuwa na Federation na hapa ndipo panahitajika kazi maana Tanzania wanataka kwenda hatua kwa hatua. Kuna mambo mengi sana ya kufanya ndani ya nchi moja moja kabla hawajaanza process ya federation. Na mimi mwenyewe ningependelea hiyo option ya kwenda hatua kwa hatua. Angalia mambo ya Euro yanavyowapa shida wazungu sasa hivi. Greece hawajui waangalie upande gani, na ninakumbuka wakati wanajiunga Euro kuna section ndani ya nchi walisema muda bado haujafika.
Hapo kwenye red..............Nikupe jibu fupi na mwafaka kuhusu hali ya greece. Mass media ya uingereza iko on a rallying campaign to expose the greek situation, ambalo ndilo the only special case in Euro-Zone. hatujasikia wengine Euro wakiwa na hili tatizo. Uingereza ina tumia the greek scenario kama kinga/kisingizio ya wao kutoingia Euro-Zone. Mtu mwenye akili atajiuliza kwanini Waingereza wanagusia tu UCHUMI kuanguka bila kugusia Uchumi wao greece unaeza imarishwa? Sio greece pekee imeshawahi pitia economic melt-down. Nchi nyingi euro zimepitia such kind of economic depression na zimweza kubounce back.
why u kenyan are so desperate to get into this union, in the past njonjo said if tanzania will move slow kenya wont wait for them and u indeed move your own direction which u thought was the better why not doing it again now? u have come crawling begging with ur tail between ur legs to start the union again, the fact of the matter is we are not desperate like u guys a lot of people here do not need this union its to our disadvantage there is nothing we can gain from u guys apart ya unyang'au wenu tu!
Hapo kwenye red..............Nikupe jibu fupi na mwafaka kuhusu hali ya greece. Mass media ya uingereza iko on a rallying campaign to expose the greek situation, ambalo ndilo the only special case in Euro-Zone. hatujasikia wengine Euro wakiwa na hili tatizo. Uingereza ina tumia the greek scenario kama kinga/kisingizio ya wao kutoingia Euro-Zone. Mtu mwenye akili atajiuliza kwanini Waingereza wanagusia tu UCHUMI kuanguka bila kugusia Uchumi wao greece unaeza imarishwa? Sio greece pekee imeshawahi pitia economic melt-down. Nchi nyingi euro zimepitia such kind of economic depression na zimweza kubounce back.
Binafsi yangu kutokana na experience niloiona ktk nchi hizi sidhani kama Jumuiya ya EA inaweza kutusaidia badala ya kutuongezea matatizo pande zote. Tazama jinsi Jokakuu na Wakenya wanavyopelekana na hhata kutuhumiana ktk maswala na misimamo tofauti ya nchi hizi. Tazama migogoro tulonayo na Zanzibar badala ya kwenda mbele miaka yote tumekuwa na uhasama fulani ndani wakati wanaofaidika na Muungano huu ni Wazanzibar zaidi ya bara. Rwanda na Burundi wao wanataka ardhi zaidi maana nchi zao ndogo na umoja huu una faida kubwa kwao.
Kabaridi,
..mimi nadhani EAC ingeweka more emphasis kwenye mambo yanayomhusu the common mwananchi.
..lets expand on cross boarder trade. lets improve our infrastructure and have joint projects to do so.
..pia tuangalie jinsi gani tunaweza kuwa na common currency. We had one before, kwanini EAC currency board ilivunjika and each member state went on to establish their own central bank?
..tuunganishe na ku-standadize education system kwa nchi zote. kuna wazee wana degree za University of East Africa ambayo ilikuwa na campus Makerere Uganda, Nairobi[faculty of engineering], na Dar-Es-Salaam[faculty of law]. Kwanini Univ of East Africa ilikufa?? Can it be re-established??
..Pia tuachane ni mitazamo kwamba mimi ni Mtanzania, Mkenya, au Mganda, na tuanze kujiona sisi ni watu WAMOJA, watu wa East Africa. But there has to be an incentive to do that, and unfortunately I dont see that yet.