Samahani mkuu sikuwepo kijiweni week hii kuchangia,naona mengi yamenipita. Labda niulize kuna uhakika gani kwamba hoja alowakilisha sio msimamo wetu kulingana na sera za chama tawala. Kumbuka kwamba sisi wengine tunaodai mwongozo yaani kuwepo kwa dira ya kitaifa, ni kutokana na maswala kama haya ambayo mtu yeyote anaweza kufanya maamuzi yake binafsi kwa kisingizio cha uzalendo.
Na kwa bahati mbaya zaidi ni kwamba Watanzaniua kwa ujumka wetu hatufahamu maana ya SIASA na matumizi yake kiasi kwamba mtu yeyote anayejiona msomi anaweka fikra zake mbele kwa kutumia logic kupinga ama kukubaliana na wazo japokuwa pinzani kiitikadi na sera za chama ama dira ya kitaifa. Kifupi naweza sema Tanzania kisiasa tuna mfumo wa demokrasia wa wagombea binafsi kwa kupitia mwamvuli wa chama tu. Kila mbunge wetu anawajibika kwa wananchi kwa jinsi anavyojisikia huru hivyo kutafsirika kama ndio uzalendo. Ni vichekesho vitupu kwa muumini kumtumikia Yesu lakini usifuate biblia....
livefire,
..I think the problems is to equate Tanzanians concerns to "excuses". The EAC defence protocal is a good example: why would member states, other than Tanzania, sign on to a defence protocal that does not address a critical issue such as what to do with an aggressive member state that starts a war with another country within or outside the community?
..In my opinion, technocrats frm other member states either do not conduct thorough research, or do not listen to their counterparts frm Tanzania unless they raise hell in the public. Kwasababu all the time these protocals have ended up being corrected to reflect Tanzanias position.
Ndio tatizo la kuchagua wabunge wenye sifa ya kujieleza kiingereza badala ya mbunge anayejua nafasi ya Tanzania ktk jumuiya na mwenye uwezo wa udadisi ktk maswala nyeti yanayotugusa. Hivyo sii kosa la rais maana mbunge tunamchagua bungeni kwa vishawishi vya takrima na kadhalika. Ni muhimu tuwe na mwongozo wa Kitaifa kama hatuna basi kila mbunge atafikiria kivyake maana alipitishwa kwa sifa zisizohusiana kabisa na msimamo wetu. Lakini bado rais anaweza kabisa kutoweka saini muswada huo hivyo tunejifunza taratibu ktk maswala haya na sidhani kaa kesho tutayarudia makosa ya kuchagua wabunge wauza sura na lugha za ulaghai..Mbunge aliitoa kama hoja binafsi, ndipo wabunge wa nchi nyingine wakaikubali.
Kama hoja yake binafsi ilikuwa ni msimamo wetu, kwa nini sasa wazizi husika anamshauri Rais asitie saini?
Huyo mbunge, waziri, na Rais si wanatoka chama tawala?
How do you address such an issue. Simple. the answer lies in history. In the East African region, no country has ever demanded war with fellow members state. Neither have governments within EA entered strained diplomatic relations. From your thought, one may see this as a plot is to advance within the bloc, unequivocal advocacy for a rife ideology of a looming full-blown-war. A time for posturing with past events and experiences that were meant to be self-serving rather than having a regional interests at heart, at the expense regional development and integration is really eating this region's time and potential for growth. If you are bold enough relinquish, EAC and its headquarters to other willing and cooperative partners. Leave The EAC alone or it may be a conduit for graft vices. The EA defense pact to only reflect Tanzania's position, only goes on to show a self centered attitude. For progressive intergration people must tug along as a unit.
Kabaridi,
..umesahau Kenya vs Uganda on Migingo?
..pia nakukumbusha Uganda vs Rwanda inside DRC.
..tena Tanzania vs Uganda in 1972,1978.
..na tena Kenya vs Uganda, when Kenya allowed the Israelis to refuel in Nairobi.
..So based on history, Tanzanias position is justifiable when it demands that the defence protocal must be specific on what to do with a member state that pursues aggressive military policy against another country within or outside the community.
..Not sure on if SADC defence protocal is the same as the one proposed by the EAC. If that is true then Tanzania has every right to withdraw or abstain from SADC defence protocal. Also there is no reason for Tanzania to sign on to two defence protocals that r seriously flawed. Again, if ur assertion r true, then most probably Tanzanias position with regard to the proposed EAC defence protocal is derived from the bad experience[DRC war] we have had with SADC defence protocal.
..Kuhusu self centered attitudes, the feeling is mutual. Tanzanians too feel that Kenya is putting her national agenda first and EAC interests are only secondary. Tanzania and Kenya, being the big brothers within the community, need to work together to iron out our differences.
NB:
..Hapo kwenye RED, kama Kenya mnaona hamuwezi kuishi na wa-Tanzania ur welcome to move the EAC headquarters to Rwanda, Burundi, where ever u feel that will serve ur interests. Infact, this was once attempted but I dont know why member states back tracked.
Hapo Kwenye Red......Kenya's sovereignty has been put to the test many times. First with regard to the Migingo issue. There was no military aggression by Kenya. The Ugandan delegation was called to Nairobi and all that trouble was resolved for good. That shows that kenya resolves to dialogue before turning to aggression and military options with its neighbors
Two...interestingly Isreali contingent was not at war with Uganda during "Operation Thunderbold" There were on a rescue mission to save an Israeli airplane at Uganda's Entebbe Airport. Their refuelling at nairobi does not indicate any collusion with external govts.
You interestingly quote all war eventualities at east and central Africa DRC, Uganda, but southern africa, has had its fair share of security-lapses triggered through political instability. In Namibia, there were a political and security dilemma caused by a separatist movement. Namibia was under attack. The list is endless not forgetting mozambique and Frelimo trigerring political instability and securty threats, not forgetiing Angola and decades of civil war.
So kenya will keep on providing diplomacy for free without charge. Learn! All member states in EA should learn from kenya
Kabaridi,
..U can call "Operation Thunderbolt" what ever u want to call but it resulted in several Ugandan soldier getting killed. After the attack/raid/rescue in Entebe, the Israeli planes refueled in Nairobi Kenya. I am really not convinced that Kenya did not conspire with the Israelis against Uganda??
..In Mozambique Kenya and South Africa were financing Renamo bandits and causing instability in that country. Zimbabwe and Tanzania went to war in support of Frelimo and the ppl of Mozambique. It is only recently[during Mkapa's tenure] that the bodies of our fallen soldiers were returned home frm Mozambique and laid to rest in Naliendele in southern Tanzania. Thanks to Kenya and their friends the South African boers.
..Vita vya Angola was just too complex, I prefer not to drag this debate into it. Having said that, I really suspect that Kenya was helping Jonas Savimbi and South Africans.
..Tanzania tunataka kujua hiyo defence protocal ita-deal vipi na issues kama ile ya Uganda ku-train wapiganaji wa Mwakenya, au Rwanda kuvamia Congo bila sababu za msingi, au yale mashambulizi ya Uganda vs Kenya during the 80s.
Isreali were on a mission to rescue an Isreali airline with numerous Israeli Passengers on onboard at Entebbe airstrip. That is when the forces loyal to idi amin were running basak. I doubt your claims that kenya had anything to do with Renamo bandits. All I can recall was the peace keeping mission of kenya navy's 15th batallion at namibia, nothing else.
Angola na kufundisha/coaching wapiganaji wa Mi2 nchini DRC what have you to say about that. Niko na hiyo protocal ya SADC and I don not see how it has categorically adressed your interest and position as a member state.
Kabaridi,
..If SADC defence protocal is as flawed as EAC protocal then Tanzania has every right to abstain from both of them.
..The war in DRC put Tanzania in a very bad spot diplomatically. We allowed Uganda to import her weapons thru' D'Salaam port when there was every indication that Uganda would use them to attack a SADC member and allies in DRC. At the same time Mkapa's administration was claiming that there were supporting the peace process in DRC. Mahusiano yetu na DRC yalikuwa mabaya kiasi kwamba Kabila Sr hakuhudhuria mazishi ya Mwalimu Nyerere.
..Kwa mtizamo wangu we should not repeat the same mistake twice. If Tanzania is going to sign on to EAC defence protocal then we have to make sure that it is better than the SADC protocal. On top of we must not contradict our foreign and defence policies taking into consideration that we r also signatories to the SADC defence protocal.
..mimi sidhani kama Kenya inaweza kusaini mkataba wa ulinzi wa EAC hata kama una-conflict makubaliano yake na nchi za IGAD. Pia itakuwa ni makosa kwa Tanzania kujaribu ku-dictate Kenya's foreign and defence policies.
..pia mimi sijui Kenya imewahi kushiriki wapi militarily. Tanzania tumeshakwenda Seychelles,Comorro,Uganda, Mozambique,Zimbabwe,Angola,Namibia,na DRC. Kenya imefanya nini militarily in our region??
NB:
..Kenya walikuwa wakisaidia Renamo and Apartheid South Afrika kuipiga vita Mozambique. There is evidence that supports that. Hiyo ndiyo ikapelekea Mozambique wakapinga participation ya Kenya kwenye peace talks. Lakini hayo yamepita tuzungumzie future.
..
Dr Nangale ndiye aliyeleta huo uchuro?
Kabaridi,
..If SADC defence protocal is as flawed as EAC protocal then Tanzania has every right to abstain from both of them.
..The war in DRC put Tanzania in a very bad spot diplomatically. We allowed Uganda to import her weapons thru' D'Salaam port when there was every indication that Uganda would use them to attack a SADC member and allies in DRC. At the same time Mkapa's administration was claiming that there were supporting the peace process in DRC. Mahusiano yetu na DRC yalikuwa mabaya kiasi kwamba Kabila Sr hakuhudhuria mazishi ya Mwalimu Nyerere.
..Kwa mtizamo wangu we should not repeat the same mistake twice. If Tanzania is going to sign on to EAC defence protocal then we have to make sure that it is better than the SADC protocal. On top of we must not contradict our foreign and defence policies taking into consideration that we r also signatories to the SADC defence protocal.
..mimi sidhani kama Kenya inaweza kusaini mkataba wa ulinzi wa EAC hata kama una-conflict makubaliano yake na nchi za IGAD. Pia itakuwa ni makosa kwa Tanzania kujaribu ku-dictate Kenya's foreign and defence policies.
..pia mimi sijui Kenya imewahi kushiriki wapi militarily. Tanzania tumeshakwenda Seychelles,Comorro,Uganda, Mozambique,Zimbabwe,Angola,Namibia,na DRC. Kenya imefanya nini militarily in our region??
NB:
..Kenya walikuwa wakisaidia Renamo and Apartheid South Afrika kuipiga vita Mozambique. There is evidence that supports that. Hiyo ndiyo ikapelekea Mozambique wakapinga participation ya Kenya kwenye peace talks. Lakini hayo yamepita tuzungumzie future.
..
Mkuu haya atuwezi kuya-sweep under the carpet eti "yamepita", uliyo zungumza humu ndiyo true colour za ndugu zetu hawa - mimi sina hakika kama wamebadirika chochote - posts nyingi zao humu zinajidhihilisha hivyo na wala tusijidanganye. Mzee Mandela baada ya kutoka kifungoni/gerezani aliwahi kutoa comment fulani kuhusu jirani zetu hawa alikuwa anawajua fika kwamba viongozi wake walikuwa wanaweka spana kwenye vita vya UKOMBOZI kusini mwa Africa, wanashirikiana na makaburu na wapinga ukombozi wa watu weusi - "nimesema viongozi wao na si raia wa Kenya"
Kenya aikuwahi kushiriki popote militarily katika ukombozi kusini mwa Afrika, cha ajabu nchi zikisha jikomboa ndiyo wanakuwa wa kwanza kutaka kwenda kuwekeza, kutaka kuvuna ambacho hawakupanda; viongozi wenye traits za mjaja kuwahi nani atataka kushirikiana nao!! Siwasemi vibaya lakini mnapashwa kubadirika tabia.
Juzi hapa Waziri SITA alisema kumbe mahindi tuliyokuwa tunawapa hili tuwaepushe na baa la njaa nchini mwao, wenyewe wanachukua mahidi wanakwenda kusaga kwenye masheni wanapata UNGA wanaweka kwenye mifuko na kwenda kuhuza unga kusini mwa SUDANI!! si hilo tu - kasema vile vile kwamba wafugaji wenye mifugo wakivuka mipaka kwenda kuhuza mifugo Kenya, Polisi wa Kenya wanawatisha wafugaji kwa kuwambia mifugo yao ina ugojwa na NDIGANA li kwa hiyo watakabiliwa na kufungo cha muda mrefu, wafugaji wanakimbia na kuacha mifugo yao! Mifugo inaswagwa na mapolisi kupelekwa kwenye kiwanda cha kusindika nyama, wanachinjwa na kusindikwa kwenye makopo na kwenda kuhuza Mashariki ya KATI! - sasa kwa akili za kawaida ni nani ambaye atataka kushirikiana na watu ambao hawaeleweki vizuri! Kuna mambo mengine mengi Waziri Sita ambayo alizungumzia kuhusu majirani zetu hawa ambayo yalinifanya niamini kwamba hawajabadirika chochote jinsi wanavyo ichukulia Tanzania na raia wake - 'am sorry kulisema hilo.
One more thing - If EAC defence protocol is highly flawed then Tanzania has every right under the SUN to abstain from it, who needs a Mickey Mouse defence protocol!
Wakati huu Naona kwa kweli Watanzania wanatumia kile mwingereza anita Scotch-the-earth-exit. Kuvuruga matokeo ya EAC. Waafrika tumebaki kueneza siasa katika mikutano hii. Hakuna misingi za kujadili maendeleo za siku zijazo. Huku mukiwa mumebaki kutambua SADC.
Mzee mandela alifungwa gerezani miaka thelathini na tano. Huu ndio udhaifu wa mataifa ya SADC yanadhihirisha. Huku Mzee kenyatta alipokuwa akililiwa aachiliwe huru na mataifa kutoka ulaya na wananchi wa kenya, mataifa ya hapo SADC yangelilia kuachiliwa kwa mandela. Ni hivi majuzi miaka za tisini ndipo mandela aliachiliwa na Serikali ya makaburu kwa marekani kusititiza. Kenya's military policy si ya kuingilia mataifa huru rahisi kama ambavyo tunaona Tanzania ilivofanya katika historia. Muliingia comoros islands, hata na DRC, sio kwa resolution za AU/UN. Hili ni jambo hatari!
Wakati huu Naona kwa kweli Watanzania wanatumia kile mwingereza anita Scotch-the-earth-exit. Kuvuruga matokeo ya EAC. Waafrika tumebaki kueneza siasa katika mikutano hii. Hakuna misingi za kujadili maendeleo za siku zijazo. Huku mukiwa mumebaki kutambua SADC.
Mzee mandela alifungwa gerezani miaka thelathini na tano. Huu ndio udhaifu wa mataifa ya SADC yanadhihirisha. Huku Mzee kenyatta alipokuwa akililiwa aachiliwe huru na mataifa kutoka ulaya na wananchi wa kenya, mataifa ya hapo SADC yangelilia kuachiliwa kwa mandela. Ni hivi majuzi miaka za tisini ndipo mandela aliachiliwa na Serikali ya makaburu kwa marekani kusititiza. Kenya's military policy si ya kuingilia mataifa huru rahisi kama ambavyo tunaona Tanzania ilivofanya katika historia. Muliingia comoros islands, hata na DRC, sio kwa resolution za AU/UN. Hili ni jambo hatari!
With due respect Mr. Kabaridi, nilikuwa nasoma sana post zako kuhusu TANZANIA hasa inapokuja kwenye mambo ya ukombozi wa Wafrica wenzetu kusini mwa Africa - nasikitika kukwambia kwamba mara nyingi unapenda sana ku-distort role ya nchi yetu katika nyanja hii, unapenda sana kuonyesha wasomaji wa makala yako kwamba Tanzania ni nchi inayopenda sana kuvamia/kujingiza katika nchi nyingine - sijuhi kwa nini una-maintain stance HIYO!!
Kuna mengi ningependa kusema lakini ntaji-confine kwa haya mawili ya mwisho nayo ni: Comoro na DRC.
- COMORO.
Watanzania hawakujingiza/kuvamia COMORO bila ya kuitwa kutoa msaada, hili kukomesha matendo ya kihuni yaliyokuwa yanafanywa na mwanajeshi jeuri ambaye alikuwa na nia ya kuvigawa visiwa hivyo vipande vipande, kumbuka Watanzania wana ndugu zao wa damu katika kisiwa cha COMORO, ebu twambie tangu tumeweka mambo
sawa huko umewahi kusikia tena rabsha yoyote - sasa hivi raia wanaishi kwa AMANI. Je tulikosea nini hapo! Labda nikuhulize kitu, hivi Ufaransa ilikuwa inataka kuchukua hatua gani ya kumdhibiti mwanajeshi huyo jeuri?
- DRC.
Hapa sijuhi unazumgumzia DRS ya Kabila Sr. au Kabila Jr! Kama ni Kabila Sr. nataka kukufahamisha kwamba mtu huyu aliwahi kuishi Tanzania kwa muda mrefu akijishughulisha na Biashara na mambo yake ya UKOMBOZI, mtoto wake Kabila Jr kasoma hapa Tanzania Primary na Sekondary na anajuha kuzungumza kiswahili fasaha, sasa walipo anza harakati zao za ukombozi za kumung'oa Mobutu wakisaidiana na nchi rafiki walipo fanikiwa, Kabila mwenyewe kuomba Tanzania isaidie katika kufundisha jeshi lake na kutoa mafunzo vile vile kwa jeshi la POLISI - haya ni mambo ya kawaida tu, sikuwahi kufatilia kilicho kuja tokea baadae lakini ninacho juwa ni kwamba for some reason Tanzania aliamua ku-withdraw instructors waliyo pelekwa huko kutoa mafunzo baada ya Rwanda nadhani na Uganda kufanya mambo ambayo TANZANIA aikutaka kuwa part of IT. Sasa labda mwenzangu unaweza kuwa na plausible explanation - maana unaonekana unaijuwa TANZANIA like back of your hand, wakati hujawahi kuishi au kufanya kazi Tanzania!
Yaani mtu wa nje akisoma makala yako kuhusu Tanzania especially kuhusu mambo ya ukombozi na role Tanzania iliyo-play katika harakati hizi, nakuona unapendela sana kutoa a very -ve impression at all TIMES 'am sorry kukwambia huko obsessed na hilo sijuhi kwa nini!!! Mtu akisoma kwa umakini makala zako nyingi kuhusu eti Tanzania inapenda sana kuvamia nchi nyingine huru bila ridhaa ya UN/AU anaweza kudhani post zako ni handout za aidha CIA au MI5 na dossier ya kina Tony Brair kuhusu imaginary WMD.
Labda nimalizie kwa kukuhakikishi kwamba Tanzania inapenda maendeleo sana na kushirikiana na nchi nyingine, lakini siyo ya kuhuza utu na nchi yetu kukidhi matakwa ya watu wenye an hidden agenda. Haya mambo ya kusema tunaeneza siasa kwenye mikutano yanatoka wapi, tusipo kubaliana na nyiyi katika issues fulani fulani ambazo hazija kaa sawa basi mna-interpret hiyo kama kueneza siasa! Kwani kuna dhambi gani nchi inapotaka kujuridhisha kwamba nchi nyingine zisichukulie upole wa Watanzania kama ni dalili za kuonyesha kwamba tuko WEAK kwa hiyo tunaweza kuwa manipulated left,right and the center like a puppet - Waigereza uliyo wa-quote humu wana msemo wao usemao "Once bitten TWICE SHY" msifikili Watanzania tumesahau ukatili wenu mlioufanya baada ya kuvunjika Africa Mashariki mka-grab kila kitu typical "GRAB EVERY MALI AVAILABLE" je TANZANIA ina uhakika gani kama kweli nyinyi mumebadadirika na kujifunza kuishi na binadamu wenzenu kwa kuheshimiana, wenzetu usema actions speaks VOLUME kwa hili wala tusiende mbali tuangalie makala zenu mnazo ziandika kuhusu TANZANIA, je unaweza kuniangalia usoni na ukasema bila wasi wasi kwamba nchi yenu ina nia nzuri kuhusu TANZANIA? Mbona Waganda, Wanyarwanda, Warundi baadae Sudan na DRC wote hao hawako vocal kuhusu TANZANIA kama nyinyi.
Mambo kuhusu michango ya Mzee Mandela na Mzee Kenyatta katika mambo ya ukombozi ya mwafrica, naona hiyo topic ntaizungumzia baadae. Tunawekana sawa hapa Mr. Kabaridi wala usinifikilie VIBAYA.
Bukyanagandi tunaweza zungumza hadi siku zijazo kuhusu ushirikiano wenu. Kwanza kumbuka kenya has been noted for its preference of diplomacy and non-military approach towards external aggression. Wakati huu nilivyozungumzia Jokakuu hapo awali kuhusu jinsi Uganda wanachukua kila nafasi EA, iwe ni jambo lolote lile kiuchumi, kisiasa, au kijeshi. Msingi wenu wa ushirikiano na roho yenu watanzania iko SADC. Mimi sina scripts za CIA, wal M15 ila ninazungumzia kuhusu Africa na historia. Hapo SADC nchi nyingi zimekaa katika vita-vya-wenyewe-kwa-wenyewe. Vita za kushinikizwa na wanasiasa wakereketwa wa nchi hizo. Ninashangaa nchi yenu inatazamia kuhifadhi ujambazi wa aina hii. Wakati Jokakuu anazungumzia kuhusu ORDER OF NACHINGWEA, isiwe munatunukiwa kufadhili ujambazi wa aina huo. Katika hii Sera Tanzania imeeanguka mtihani. Sera ya kutojitambulisha na wakereketwa wa kisiasa ambao wamelipwa kufanya uhalifu na wa nchi geni kutoka Afrika kusini kuja Afrika Mashariki kuleta vurugu EA. Utagundua kenya haina majambazi au makundi ya wakereketwa wa kisiasa kutoka nchi geni kutafuta sehemu za kufanya uhalifu wao. Weka mjadala huu alive, nitasafiri lakini Jumatatu nitakuwemo pamoja nanyi.Labda nimalizie kwa kukuhakikishi kwamba Tanzania inapenda maendeleo sana na kushirikiana na nchi nyingine, lakini siyo ya kuhuza utu na nchi yetu kukidhi matakwa ya watu wenye an hidden agenda. Haya mambo ya kusema tunaeneza siasa kwenye mikutano yanatoka wapi, tusipo kubaliana na nyiyi katika issues fulani fulani ambazo hazija kaa sawa basi mna-interpret hiyo kama kueneza siasa!
JokaKuu,
Wacha niseme wazi wazi walichosema wahenga; Fimbo ya mbali haiuwi nyoka. Watanzania na JWTZ wameweza kuonyesha laxity hususan ikija kwa masuala ya usalama katika Afrika mashiriki. Hii agenda ya Tanzania kujaribu kubalkanize sehemu za Afrika Kusini kisiasa wakati EA iko motoni ni jambo tunawaza bila kupata majibu. Wacha niwape hongera kwa Suala la NACHINGWEA. Ingawa nianze kwa kusema, katika kanda hili, je! mumeweza sajili JWTZ kwenye EASF (East-African-Standby-force)? Watanzania ikija kwa maswala ulinzi ya EA, tunaona uvuguvugu kwenu na hili ndilo tunakuwa na hofu kuhusu kuachia TZ uendeshaji wa EAC. Mumekuwa hamuaminiki. Utakumbuka wakati ule mwaka wa sitini na tano, kenya ilipokuwa ikijaribiwa na serikali ya somalia ikishirikiana pamoja na Russia na Uingereza wakati wa vita vya shifta. Hakuna aliyejitolea kutusaidia kijeshi. Kenya pekee na rasilimali zake, mwenyezi Mungu atulinde, ndio ilibaki ikitapatapa kujikwamua kutoka hilo shambulizi la wasomalia/Shifta war. Ambalo tulinisurika.
Wakati unaona Waganda wakikimbilia kujiweka katika boots na kuingia Somalia si utani. Wanajua kutokana na historia kuwa umoja na ushirikiano katika kuleta usalama katika kanda hili la EA ni muhimu. Ndio utakuta wao waganda ndio wamejaza strong-force kule AMISOM. Hasa uvuguvugu wenu unaendelea kudhihirika EA ukizingatia Ugaidi Umezidi. Wakati huu, hakuna atayetushukuru, we are doing a thanklesss job in Somalia na kwingineko kujaribu na kurejesha amani. Wakati wote huo tumekuwa na wapiganaji kutoka Ethiopia, Somalia na hata Sudan wakiingia mipakani kenya kufanya uhalifu, kunyakua mali na kuondoka, kufanya mauaji ya wananchi wa kenya. Lakini kenya imesalia katika diplomasia kuzisuluhisha.
Bukyanagandi tunaweza zungumza hadi siku zijazo kuhusu ushirikiano wenu. Kwanza kumbuka kenya has been noted for its preference of diplomacy and non-military approach towards external aggression. Wakati huu nilivyozungumzia Jokakuu hapo awali kuhusu jinsi Uganda wanachukua kila nafasi EA, iwe ni jambo lolote lile kiuchumi, kisiasa, au kijeshi. Msingi wenu wa ushirikiano na roho yenu watanzania iko SADC. Mimi sina scripts za CIA, wal M15 ila ninazungumzia kuhusu Africa na historia. Hapo SADC nchi nyingi zimekaa katika vita-vya-wenyewe-kwa-wenyewe. Vita za kushinikizwa na wanasiasa wakereketwa wa nchi hizo. Ninashangaa nchi yenu inatazamia kuhifadhi ujambazi wa aina hii. Wakati Jokakuu anazungumzia kuhusu ORDER OF NACHINGWEA, isiwe munatunukiwa kufadhili ujambazi wa aina huo. Katika hii Sera Tanzania imeeanguka mtihani. Sera ya kutojitambulisha na wakereketwa wa kisiasa ambao wamelipwa kufanya uhalifu na wa nchi geni kutoka Afrika kusini kuja Afrika Mashariki kuleta vurugu EA. Utagundua kenya haina majambazi au makundi ya wakereketwa wa kisiasa kutoka nchi geni kutafuta sehemu za kufanya uhalifu wao. Weka mjadala huu alive, nitasafiri lakini Jumatatu nitakuwemo pamoja nanyi.
Huo muswada unatoa maana zipi juu ya transboundary ecosystems? Unasema transboundary ecosystems katika Afrika Mashariki ni zipi?
Kama Tanzania tuna sheria ambazo bado zinaheshimiwa na nchi nyingine za jumuiya,wasiwasi wa nini? Halafu pia ile EA Protocol and Treaty imeongelewa suala la kuharmonise sheria zozote zitakazotungwa na jumuiya ili kuepuka mkanganyiko na muingiliano wa sera na sheria katika nchi za jumuiya.
Mimi naona sheria hii itakuwa na manufaa zaidi kwa Tanzania kama wabunge tuliowatuma wataumiza vichwa vyao. Kwani uwepo wa commission hiyo kutaweza kuleta environmental standards ambazo zitaondoa makelele kama yale yaliyotokea pale Lake Natron (Soda Ash Project) na Serengeti (ujenzi wa barabara). Hii itategemea sana na namna wabunge wetu watakavyojadili na kutoa michango yao;na muundo wa commission husika.
Well said, well done Mkuu - lakini swali ni: Hivi hizo sheria zitaheshimika kweli au tutabaki tunapoteza muda katika maswala ya ku-ammend clauses fulani fulani, going back and forth like a YOYO!
Hapa tunaweza kuwalaumu wakenya,wakati wanaopaswa kulaumiwa ni hao wawakilishi wetu ambao hawafahamu nini kimewapeleka huko kwenye EALA! Tunapeleka watu bogus EALA,halafu tunatarajia kupata maamuzi ya kueleweka,kweli?!
Ni kweli Wakenya wana-exploit mwanya wa wawakilishi wetu kutokuwa makini katika mijadala kwenye Bunge la EALA, sijuhi hii inatokana na nini - njaa au kutomudu vema kuzungumza kingereza! Mimi niko very much concerned na baadhi ya wabunge walio teuliwa juzi - infact naweza kutaja jina, huyu Ms Rose Bhanji she speaks a very refined English lakini alipo ulizwa maswali kuhusu mambo ya Jumuhia ya Africa Mashariki na anawezaje kusimamia maslahi ya TAIFA letu? Alishindwa miserably kujibu swali! alionekana wazi alikuwa hajafanya homework ipasavyo! Nilishangaa sana alipo kuwa kwenye orodha ya wale walio pata kura nyingi!!
Juzi juzi Spika wa Bunge Mh. Anna Makinda (Mb) she didn't mince words, alimwambia Rhose kwamba alionekana anakwenda nyumbani kwa Barozi wa Kenya! Rhose kasahau kabisa kuhusu mambo ya "Conflict of Interest" haya ameyafanya hapa Dar, je akienda Arusha ambako atumuoni atafanya nini? Can you rule out anything! - Mimi ningekuwa na uwezo katika bunge hili ningependekeza avuliwe ubunge wa EALA kwa kuwa nyenendo zake zinatia shaka sana, tumuache aendelee na kazi zake kwenye BENKI.
Jembe letu pale ni Makongoro Nyerere akifuatiwa na Kimbisa.