Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Niffer et al.,Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa
Hio mall ni apartments km mlimani City wanazipangisha na hao wakuda wa kariakoo wanaowapiga vita wachina wameshawahi frame za humo kwa hio ni mwendo uleule toa mguu niweke mguuWachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa
Na sio kwamba wale vibaka wakikupiga wanavunga km hakuna kilichotokea ila wanajitapa kwamba wamekupiga enjoy the showNasikia airforce ni alfu tano😂, watu watakufa njaa hapa bongo
Sio ufukara wewe unapiga watu hela tofauti na bei ya bidhaa husika unatarajia nini? Mchina aje tu na bei zishuke maana mkiona tunakimbilia kwa mchina nyinyi lazima tu mtakaa kwenye mstari lazima mshuushe bei msisingizie TRAAkili za mafukara zimejaa visirani.
Sio mafukara mkuu kuwe na bei halisia kiongozi Kuna haja kuangalia upya sera zetu ili tusiumize wanunuajiAkili za mafukara zimejaa visirani.
Hapana Kariakoo watu wanapigwa sana na asilimia 90 ni bidhaa bandiaAkili za mafukara zimejaa visirani.
Mchina Kaja kuwanyoosha. Afungue mall nyingine kubwa Tunduma/Kasumulu Wazambia, Wamalawi, Wa-Congo waishie pale pale border.Hapana Kariakoo watu wanapigwa sana na asilimia 90 ni bidhaa bandia
Kuna mtu kaweka mada anashangaa kuna duka mchina Mikocheni linauza kila kitu kwa buku 3 tuu.. Hiyo ni sawa Yuan 10 kule China.. Hiyo pesa kule kwao ina nguvu Sana.. Na wabongo tumepigwa Sana bei kwa vitu ambavyo bei yake ni kitongaMchina Kaka kuwanyoosha. Afungue nyingine Tunduma Wazambia, Wa-Congo waishie pale pale border
Eti agiza na mimi pekee, yani umeenda China mwenyewe huna hata mtaji unazunguka madukani unapiga vitu picha unasubiria nikitaman nikilipie upate hela ya mtaji. Haya kitu kinafika kiko tofaut na ulichoona katika pichaChina inahamia ubungo
Wale watafutaji wenzangu wa "agiza toka china kwa bei ya viwandani kazi inaendea mwisho"