E133-4 servirce is currently scrambled

E133-4 servirce is currently scrambled

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
HABARI WADAU ..
NAJUA HAPA NTAPATA SULUHISHO .
DStv INAALETA ERROR HIYO .. E133-4 ... JE TATIZO NI NINI. ?
KWA NAYEJUA AU ALISHAWAHI PITIA TATIZO HILO ANIJUZE .
 
MultiChoice Tanzania
Dar Es Salaam Main: +255 22 219 9600. Fax: +255 22 266 7327

Hizo ni contacts za DSTV office, i hope watakusaidia tatizo lako
 
Back
Top Bottom