E-mrejesho Haina makali Tena.

View attachment 3027921emrejesho hapo nyuma ilikuwa ndio sehemu unaweza toa malalamiko ya SEREKALI na ukawa salama na swala likashughulikiwa haraka. Ila sasa asee nikama hawafanyi hii kazi Tena. Unaweza repoti tatizo ukajibiwa baada ya mwezi.
Nimeishawasilisha malalamiko yangu tangu mwezi wa Nne (April) hadi sasa mwezi huu wa saba (Julai), bado nasubiri majibu. Hii sio sawa kabisa, Kila siku serikali inahamasisha matumizi ya tehama (mifumo) ili kurahisisha mambo ila serikali yenyewe haiko active katika mifumo yao hiyo.
Hii ni aibu sana. Hapo mfumo huu ulitumia pesa nyingi za walipa kodi watanzania, cha ajabu haufanyi kazi. Tunaomba serikali angalieni hili kama tatizo ni watumishi badilisheni watumishi wengine. Yaani unawasilisha lalamiko unasubili zaidi ya miezi mitatu, sasa si afadhari tuwe tunawafuata huko ofisini hakuna haja ya hii mifumo, ni uharibifu tu wa pesa za watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…