Plan ya mwaka huu ipo approved?E-loan ukijaza pepmis zikawa approved mbona bado unaambiwa pepmis plan haijawa approved!?
Kaka hiyo ni huduma ya watu wote wavivu serikalini kuandika barua kwa katibu mkuu kuomba msamaha kwa uvivu wao .Ndio huduma gani hiyo?
Ndio boss ila na unaziona kabisa ila ukiapply wanakuambia plan haijawa approved on ni ishu ya mtandao!?Plan ya mwaka huu ipo approved?
Ha ha ha ha haa!Kaka hiyo ni huduma ya watu wote wavivu serikalini kuandika barua kwa katibu mkuu kuomba msamaha kwa uvivu wao .
Mwenyewe niliandika juzi akanijibu niwe na amani amenisamehe
Basi uwe mpoleNdio boss ila na unaziona kabisa ila ukiapply wanakuambia plan haijawa approved on ni ishu ya mtandao!?
Okay baada ya muda itakubali si ndio!? asante kiongoziBasi uwe mpole
Mkuu Ukisha Approve leo Unatakiwa Kusubiri Masaa 24 Ili Report ifike kwa Katibu Mkuu Kupitia Mfumo!E-loan ukijaza pepmis zikawa approved mbona bado unaambiwa pepmis plan haijawa approved!?
msimamizi wako wa kazi aaprove plan yakoE-loan ukijaza pepmis zikawa approved mbona bado unaambiwa pepmis plan haijawa approved!?
Sawa sawa labda iplementation ndo kikwazo, poa poaMkuu Ukisha Approve leo Unatakiwa Kusubiri Masaa 24 Ili Report ifike kwa Katibu Mkuu Kupitia Mfumo!
Kingine Kwa Mujibu wa Implementation Hii ni wiki ya Tano ya Kuimplement subtask zako Je Una 10% Au 8% au Kuanzia 6%kwenye Proggress ya Implementation Yako??
Ndioomsimamizi wako wa kazi aaprove plan yako
Kausha damu za watumishi wa UMMANdio huduma gani hiyo?
Kausha damu za watumishi wa UMMA
Unajikaushia kupitia simu yako ukiwa kijijini kwako uhitaji kwenda Bank wilayani kuomba mkopo.
Unajikadiria kiasi cha mkopo uutakayo kisha unampigia simu HR wako anaapproval kwamba anakutambua then bank wanaachia tu mzigo
🙏Mkome.