Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,679
- 1,691
Habari nahitaji kujua hivi malipo ya egovt pay yanafanyikaje katika bank maana fomu niliyopewa inakitu kinaitwa control number na sio ac namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepewa na wizara ya ardhi but nilitaka kujua kama ndio ina act kama ac namba na pia je unajaza zile fomu za kawaida au kuna fomu maalum kwa egv payControl Number unapaswa kupewa na unayemlipa mfano. Chuo, TRA, Taasisi nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maana niko benk mda huuUsiku huu benki gani iko wazi?
Weka control number uliyopewa na hiyo taasisi ya serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Control Number unapaswa kupewa na unayemlipa mfano. Chuo, TRA, Taasisi nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepewa na wizara ya ardhi but nilitaka kujua kama ndio ina act kama ac namba na pia je unajaza zile fomu za kawaida au kuna fomu maalum kwa egv pay
Sent using Jamii Forums mobile app
Control number ina simama kwa niaba ta acc numberNimepewa na wizara ya ardhi but nilitaka kujua kama ndio ina act kama ac namba na pia je unajaza zile fomu za kawaida au kuna fomu maalum kwa egv pay
Sent using Jamii Forums mobile app