Inasikitisha sana, hapo utakuta rais mwenye keshapewa 10% yake wala hana habari!Miezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.
Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?
Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?
Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?
View attachment 2883959
Miezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.
Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?
Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?
Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?
View attachment 2883959
Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?Miezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Yaleyale ya January Makamba kuleta kampuni binafsi la wahindi kwa mabilioni ya fedha la NIKONEKT alafu hakuna kilichofanyik
GEPG imetengenezwa kwa open source? are you real serious asking this qn?Sasa mnataka mtengeneze mifumo ya fedha kwa kutumia open source application ambazo usalama wake ni tia maji,
Mnadhani kwa vile unajua kutengeneza basi, kila kitu kinawezekana kama vile ulivyofanya project yako ya chuo
Hujui unachokiongea?Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
Sasa huyo GEPS unauona ni mfumo wa maana sana? Unahitaji exposure sana.GEPG imetengenezwa kwa open source? are you real serious asking this qn?
yaani mifumo yote iliyotengenezwa na e-GA imetengenezwa kwa open source au sio?
Hiyo 60% ni ya nani?Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
bahati mbaya sana hujataka kuangalia e-GA wanachokifanya , wana produce best software na nina uhakika una image ya mifumo ya serikalini miaka 10 iliyopita huna experience latest ya mifumo ya serikaliNitacommeny kitaalamu maana ni tasnia yangu.
Kwa Tanzania IT wa mashirika binafsi na wa serikalini ni mbingu na ardhi.
IT wanatengeneza system mbovu kuanzia user interface, nzito kuload na withoutdated technology.
Nitajie mfumo wowote wa serikali usiointegrate na private sector ulio stable.
Haya tuambie wewe imetengenezwa na software componets zipi tuzichambueGEPG imetengenezwa kwa open source? are you real serious asking this qn?
yaani mifumo yote iliyotengenezwa na e-GA imetengenezwa kwa open source au sio?
Wewe kichwa maji sana 40% ndio inakufanya uamini NMB apewe hiyo kazi?Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
Wanaohujumu serikali ni wale wanaomiliki 60% ya hisa.Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
Umeanza kwa kusema "kama". Ungejihakikishia kabla ya kuandika. Kwani developer wa NMB wana akili gani kiasi developer wa e-GA hawana?Kwani,kama ni open tender, na NMB ina watu wanaoweza kufanya hiyo kazi, tatizo lipo wapi?
Kama unadai issue ya taarifa nyeti, nani hawezi kuzifikia kama ni successful bidder(aliyeshinda tender)! Au unadhani kila developper anaweza kufanya hiyo kazi?
Hawa watu bado sana, halafu inaonekana huyu yeye hata hajui hio mifumo imetengenezwa vipiSasa huyo GEPS unauona ni mfumo wa maana sana? Unahitaji exposure sana.
Mfumo kama 3 year project ya watoto wa chuo
Hii ni single source tender, ili bidi iwe international competitive tender na iwe hadi 5 stage tender. Hapo wana deal na taarifa nyeti.Kwani,kama ni open tender, na NMB ina watu wanaoweza kufanya hiyo kazi, tatizo lipo wapi?
Kama unadai issue ya taarifa nyeti, nani hawezi kuzifikia kama ni successful bidder(aliyeshinda tender)! Au unadhani kila developper anaweza kufanya hiyo kazi?