E-fm Radio wamekanusha taarifa za uzushi kuwa Prof Kitila Mkumbo amekataa uteuzi

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
Hii ni kwa mujibu wa tangazo walilotoa kwenye ukurasa wao wa Instagram

EFM.png
 
Hata mie ningeshangaa amkatalie mwajiri wake wakati yupo ndani ya opposition kimkakati! hata nafasi ya ubunge wa EA lengo lilikuwa wabunge wa upinzani wawe wawili na ccm 7 (Kitila inclusive)
 
Kutokana na ukweli kwamba kituo cha Redio cha EFM siku za karibuni kimejitwisha uhovyo wa kupambana na serikali basi kila uchafu kitasingiziwa. Huu upotoshaji wa Prof. Kitilla Mkumbo kukataa uteuzi wa rais ni mwanzo tu. Ukijifanya wa hovyo , kila la hovyo utavishwa wewe.
IMG-20170404-WA0007.jpg
 
Mkuu mwanamuziki akishika kipaza anatafuta fursa na halikadhalika mwanasiasa vyivyo hivyo nani atakataa nafasi hiyo adimu mara moja ndani ya miaka kumi,cv zinaongezka!
 
Wewe ndio huwa unaleta habari za uzushi humu kutoka huko instagram!
Unakumbuka juzi ulileta ya kilewo kuwa amelalamika huko insta?
Kwa hiyo unataka kusema kuwa hata hii habari ni uzushi? Nenda kwenye Akaunti ya EFM 93.7 Utaikuta. Hili game halihitaji hasira
 
huwa unachekelea huo uongo ukiwa unawahusu wapinzani!
wewe kumbe mwehu kiasi hicho!
refer taarifa ya juzi inayomuhusu kilewo uliyoleta humu
Sijawahi kuleta taarifa za uzushi hata siku moja
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa hata hii habari ni uzushi? Nenda kwenye Akaunti ya EFM 93.7 Utaikuta. Hili game halihitaji hasira
Ha haaaa haaaa hakuna mwenye hasira ila wewe ni msushi naturally!

Ila ya leo kwasababu inamuhusu jpm basi umeivalia njuga kukanusha
 
Siku hizi habari hadi ziwe na nakshi nakshi ndio zinoge. Ili bashite asahaulike..
 
Back
Top Bottom