Zipo pale kwenye taa za Sayansi,kama unatokea Mwenge shukia kituo cha Sayansi then tembea mbele vuka mataa yale ya kuongozea gari mkono wako wa kushoto utaona jengo la ghorofa hapo hapo ndiyo ofisi za EFC pia hata kama unatokea Posta ama K'koo still kituo cha sayansi ndiyo cha karibu.Kuhusu mshahara ni maelewano so unaweza ukakuta pale watu wanalipwa laki tano lakini wewe kwa kuwa unajua kubagain ukapiga mpaka 1.5 so range ya mshahara ya sehemu isikutishe wewe nenda kama wewe