Tatizo kubwa ni jinsi ya kuaccept payment, kama unataka kuuza kwa nchi za nje itabidi utafute payment processor anayekubali biashara za Tanzania kwa mfano PayPal haikubali Tanzania kwa kazi hiyo na wateja wengi watagoma kutoa details zao kama payment processor hawamjui.
Kama una access ya bank account ya nchi za nje na product unayotaka kuuza ni ya kawaida ningekushauri kutumia turn-key ecommerce providers kama
http://www.corecommerce.com kwa hiyo wewe unakuwa hauna haja ya kuumiza kichwa kuhusu hosting, security, payment processing etc wewe unajaza product zako tu na ku customize website kidogo wao wanatake care mengine.