E.Coli-GONJWA JIPYA LATINGA DUNIANI

Hiyo ndiyo nguvu ya Vyombo vya Habari, na Ulaya wanajua kuitumia. Wakitaka kukunyong'onyeza, mfano wewe ukiwa ni suplier na unategemea bidhaa fulani kiuchumi watakuzusha lolote na kupropagate by the time linapita umeathirika vibaya
 
Twafa tumrudie Mungu wetu tuu

Dada umenena. Suluhisho ni kumrudia MUNGU tu. Maana sasa kuna harakati za kupatikana kwa dawa ya ukimwi sasa mdudu ecoli asiyesikia dawa ametinga duniani. Na mbaya zaidi sasa yuko kwenye chakula ingawa chanzo chake kikubwa huwa kwenye kinyesi hasa cha binadamu.
 
Back
Top Bottom