Members wa Public Accounts Committee wameweka red flag baada ya kubainika kuwa Ksh.6.3 billion ilidivertiwa kwa private account bila approval ya serikali.
Auditor General alisema account hii haikuwa kwenye list ya Treasury, na bank statements hazikupatikana kwa audit. Ksh.68.7M + USD 48M — imepotea?
Treasury PS Chris Kiptoo anasema money imechukuliwa, lakini maswali bado yapo:
PAC sasa wamewaleta Pesaflow Ltd, Olive Tree Media, Webmasters Ltd, Electronic Citizen Solutions, Goldrock Ltd, na wengine wote wanaohusiana.
Jamii Forums, tuambiane:
Je, tunatumia e-Citizen bila worry?
Hii ni scam moja tu au ni tip of the iceberg?
SOURCE: CITIZENDIGITAL

- Malipo kwa Goldrock Ltd ya Ksh.127.8M yalitokeaje?
- PSPs zote zilikuwa licensed kutoka 2014?
- Kwa nini Auditor General alipigwa deny access kwenye security na personal data za e-Citizen?