Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Wenzako wanatafsiri kwa kiswahili kisha wanaleta humu sasa kwa kiingereza utasoma wewe tu.
Ahsante kwa ubaguzi wako mpendwaActually, nimeandika hivyo kwa makusudi. Sio kwa kila mtu.
Ahsante kwa ubaguzi wako mpendwa
Believe me man orlando kill Pac and keffe d kills biggie,keffe d be in both cars....
Tunataka uongee kiswahili utadhani tumekusomesha sie..... Haya mpendwa "if I see you, me and you (in Shilole's voice)Haha chill mpendwa. Huwa wananiudhi sana watu wanaonipangia lugha ya kutumia. Halafu huwa ni mimi tu, sasa sielewi.
Hiyo concert aliyopiga Big Cali ilikuwa ni mwaka gani?Maana hivi vitu umeandika hapa ni impossible
Unajua kuna time pac alikuwa ana spit thngs ambazo Govt hazikutaka.Nah man. Pac was too big to be killed by any punk. That was engineered by the highest authorities. Pac's death is full of conspiracies.
Nimecheeeeeeeeeeeeeka,umenisahaulisha ujinga wa "Sony music vs Tomato"( in team kiba's voice )Tunataka uongee kiswahili utadhani tumekusomesha sie..... Haya mpendwa "if I see you, me and you (in Shilole's voice)
teheteh..E-40 Is a Warrior not a Mafioso..................😀😀Mkuu umewahi kusoma vitabu vya hawa Mafioso, soma tu hadithi ya Godfather utaelewa jinsi jamaa wanavyofanya kazi.
Hata kutangazwa hazitangazwi hizi kitu.
Uyo keffe d ni nani.??Believe me man orlando kill Pac and keffe d kills biggie,keffe d be in both cars....
Najua umeyatoa haya kwenye documentary ya -Murder rap Inside,the Big and Tupac murders (2015)...Hiyo documentary is full of theories na katuni,maandishi,maigizo ya matukio yaliyofanyika kuonyesha jinsi 'walivyomuua' Tupac na 'sauti' za watu waliorekodiwa kwenye tape records wakielezea hizo theory zao,akiwemo Keffe D lakini hakuna mahali anaonyeshwa..So it can be anybody playing that part,haiwezi kuwa documentary ya kutegemea.Halaf pia muongozaji anauliza leading question sana kiasi kwamba Keffe D sehemu nyingi alikuwa akimuitikia tu yeah..yeah..yeah..Kwanza hata kama alikuwa Keffe D alikuwa anawachora tu kuwaridhisha ili wamuachie kwa kumshika na madawa ya kulevya.Kwa mfano aliulizwa "How did it go...something like that?" Alijibu "we wanted a million" (kutoka kwa Puff Daddy ili amuue Tupac) lakini mbele alipoulizwa tena kuhusiana na hilo la fedha (kwenye documentary hiyo kuanzia muda wa 1:06-1:07) alipoulizwa tena "who brought up the amount of one million dollars?" alijibu "shit...he did"..Puff did it? Alijibu "yeah"..alipoulizwa wasn't you? akajibu ''No it wasn't me..shit..I'd take 50...you know msay..Them project dudes will kill your ass for 1500...'' Kwa watu makini kama mimi tunaobserve na kufatilia maneno ya mtu kwa ukaribu utaona kuwa amekwisha jicontradict..Mwanzoni alisema we wanted a million na sasa ansema sio yeye alitaka ni Puffy ndo alilileta hiyo figure...Kwa hiyo theory ya Keffe D kumuua Pac naikataa..Believe me man orlando kill Pac and keffe d kills biggie,keffe d be in both cars....
Hiyo concert aliyopiga Big Cali ilikuwa ni mwaka gani?Maana hivi vitu umeandika hapa ni impossible
Unajua kuna time pac alikuwa ana spit thngs ambazo Govt hazikutaka.
Watu walikuw wanadai hiphop ni uhuni tu lakin jamaaa walikuwa wanabonga vitu kuntu sana mfano kama ngoma ya master mind ya Nas au Change ya pac hizi ni ya ngoma zilikuwa zina hubiri watu waacha matifu na bkacks wawe like family
Hasa hapa ule uonevu wa kipindi kile govt wasinge weza kufanya cz watu wangeanz kuwa karib na nguvu kubwa.
Kilichofata ni kuchukiwa dts why kuna kipindi Pac anapewa kesi au hata kupigwa ingawa hakuresist an arest
Mwisho wa game ilikuw ni ku eliminate the threat
Hapana..just curious..Haha. Najua unatafuta ligi tu. I'll pass.