kwa uelewa wangu zile traffc light zimekuwa programmed hakun central system ambayo wanaimonitor n kuweza kuoperate kama nchi zingine...kama hiyo hackin inawezekana toa mchanganuo kwanza huo then watu tukion inawezekan tu ku-pm for more details.....bt mhh