Mama nikiuza nyumba utakaa wapi ssa Aya Mapenzi nipoteze nipotee kbsa
Me nishawahi hadi kugombea big brother wa MMU nikashinda so usihofu nataka hela nilizokapata tutumie wote👅
Me nishawahi hadi kugombea big brother wa MMU nikashinda so usihofu nataka hela nilizokapata tutumie wote
Hapo "nilizokapata" utakuwa mtu wa kuleeeee.
kuwa mchaga sio issue daktari anaweza akawa anaumwa ila anatibu wenzake
Makungwi na watoa somo waliokubuhu kwenye fani ukifata ushauri wao jinsi ya kumuhudumia mume kitandani mume hawezi kukuacha ki ukweli
lakini cha ajabu wengi wao hawana waume teh teh
sio lazima mganga ajigange
Ulipotelea wapi..
mmh ila wachagga ni janga la mapenzi... uzuri na wao wanajijua tu!!! acha waendelee kutafuta hela
My ndugu umepita kwa Irene mbowe leo?Ngoja niwe msomaji kwanza
My ndugu umepita kwa Irene mbowe leo?
Pita tafadhali, kuna somo la muhimu sanaSijapita my dia. Nipe khabari
Pita tafadhali, kuna somo la muhimu sana
Pita tafadhali, kuna somo la muhimu sana
Duuh naona bado hawajaanzisha hiyoHivi hakuna 'flat screen project' ?
Duuh naona bado hawajaanzisha hiyo
Hahahah nimeshaghairi kuwa na "kichogo", nina confidence ya mbuta nanga now with my flatNaona utakuwa wa kwanza ku volunteer
Dyudyu ni tamu hatari ila ukilijulia radha yake halisi ukubwani ni shidaaa!!
unaweza ukawehuka
Sio kwa mahaba hayaaa
Bora nilipe ukaone simba anapakatwa kwa kweli au???