Dyudyu project

mchaga na dyudyu wapi na wapi... kushughurika hamuwezi afu mnataka kufikishwa kileleni!!!
kuwa mchaga sio issue daktari anaweza akawa anaumwa ila anatibu wenzake



Makungwi na watoa somo waliokubuhu kwenye fani ukifata ushauri wao jinsi ya kumuhudumia mume kitandani mume hawezi kukuacha ki ukweli
lakini cha ajabu wengi wao hawana waume teh teh

sio lazima mganga ajigange
 
Nipo hapa nafatilia tu Le Project wembeee
 
Last edited by a moderator:
What the heck is goin on here?
 
nina jibu moja tu kwako KILA MWANADAMU UNAYEMUONA NI ZAO LA DYUDYU bila dyudyu unazani maisha yangekuaje???? kwanza kungekua hakuja viumbe duniani
 
nina jibu moja tu kwako KILA MWANADAMU UNAYEMUONA NI ZAO LA DYUDYU bila dyudyu unazani maisha yangekuaje???? kwanza kungekua hakuja viumbe duniani
kumbe mnapenda sana,ni kuwagaragaza tu sasa
 
raha ya dyudyu ujisevie mwenyewe huku kulazimishana mpaka kwenda kwa dada dyudyu kupata ushauri looh huta enjoyy


self service ni muhumu sana

ushawahi kuwaza rubii maisha bila dyudyu yangekuaje??

maisha bila dyudyu nadhani tungewehuka wengi sana aisee unajua Mungu mjanja sana utabagua vyoote hiki haramu mara dhambi lakini dyudyu hakuna hayo!
 
Last edited by a moderator:
maisha bila dyudyu nadhani tungewehuka wengi sana aisee unajua Mungu mjanja sana utabagua vyoote hiki haramu mara dhambi lakini dyudyu hakuna hayo!
Hahaha rubii bhana..
 
maisha bila dyudyu nadhani tungewehuka wengi sana aisee unajua Mungu mjanja sana utabagua vyoote hiki haramu mara dhambi lakini dyudyu hakuna hayo!
acha tu rubii muda mwingne namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kufaidi dyudyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…