beibiii sitaki kutazama nyuma tenaa maumivu nilishayaona
wengii walinipotezea mdaa
ah ah aah kuna mudaa namuomba Mungu angekuleta mapemaa
Ila bado sio mbaya wewe ndo unayejua maumivu yangu oooh baby wew ndo unayejua maumivu yangu...
Ila bado sio mbaya wewe ndo unayejua maumivu yangu oooh baby wew ndo unayejua maumivu yangu...
Dyudyu ni tamu hatari ila ukilijulia radha yake halisi ukubwani ni shidaaa!!
unaweza ukawehuka
ha ha haa raha sanaa! next time nitakushirikisha
inaonekana umepitia kila aina ya dudu za mamen na uko fit ktk izo project hongera.
hahaha thanks!!...ntafurahi ila iwe na melody nzuri kama za Leona Lewis
usijali mpendwa wangu
dyu dyu ni dyudyuDyudyu ndiyo nini?Nimepata Kapa
sawa mpendwa nimekua na jion njema hapa!
Dyudyu ni tamu hatari ila ukilijulia radha yake halisi ukubwani ni shidaaa!!
unaweza ukawehuka
maneno ya wanawake wakati penzi lipo hot,pakinuka sasa yanabadilikaIla bado sio mbaya wewe ndo unayejua maumivu yangu oooh baby wew ndo unayejua maumivu yangu...
Karibu sana!
sasa turudi kwenye dyudyu maoni yako tafadhali
Karibu sana!
sasa turudi kwenye dyudyu maoni yako tafadhali
umeniwahi hawa wachaga ndiyo magogo kitandani zaidi ya makabila yote tanzania so kufika kileleni msahau
teh! sijawahi lisikia mie