DW Tena!

DW Tena!

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
Muswada wa vyama vya siasa nchini Tanzania umeibua hisia mbalimbali. Hivi ndivyo mchoraji katuni meddy Jumanne anavyoutizama. Je wewe una mtizamo upi?
FB_IMG_1548864619210.jpg
 
Muswada ni mzuri naomba Serikali yetu sikivu iufanzie mchakato ili utekelezaji wake kama Sheria uanze fasta.
 
Picha kwa hisani ya mabeberu😂😂😂
 
Back
Top Bottom